Ninanukia jasho/harufu ya 'ex-girlfriend' wangu

Ninanukia jasho/harufu ya 'ex-girlfriend' wangu

Maskini kumbe bado mtoto kabisa..duh..!
Soma kwanza mdogo wangu mapenzi yapo tu.
Halafu najiulizaga hivi huo umri wenu mnawasugua sawasawa hao mabinti au mnaishiaga kuwalambalamba tu kama matoto ya mbwa!
miaka 24?? Udogo uko wapi mkuu?
nimemaliza chuo na nina kazi clinical officer nimeajiriwa nina maisha yangu binafsi najitegemea na ninasaidia wazazi
 
Maskini kumbe bado mtoto kabisa..duh..!
Soma kwanza mdogo wangu mapenzi yapo tu.
Halafu najiulizaga hivi huo umri wenu mnawasugua sawasawa hao mabinti au mnaishiaga kuwalambalamba tu kama matoto ya mbwa!
kijana wa miaka 20-30 unaweza kumfananisha na mzee wa 50-70 ktk kusugua wanawake?
Mimi ni rijali nguvu zangu sina nguvu za kuunga-unga
 
Back
Top Bottom