HahahahahahahahahahNjoo Tanga uoge maji ya bahari,itaondoa tatizo lako 120%
Karibu Tanga yakhe!
Hiyo ndio zawadi yangu ya mwaka mpya?Hajapata sabuni nzuri na perfume ambayo ukipuliza mwili unakuwa unanukia tu perfume hiyo
View attachment 454955
Mhhh hilo ni jasho lako ww mwenyewe sema tuu ukweli ni kwamba umejijengea saikolojia ya hiyo harufu kichwani kwako endapo ukisikia jasho lako mwenyewe unahisi ni la demu wako .....mwaka 1.5 jasho likae mwilini haiwezekani kabisaaaaaaa[emoji57] [emoji57]madam sio harufu ya perfume,harufu kabisa ya jasho,nikitokwa na jasho nikijinusa makwapani yaan daah nasikia harufu yake tu.
nimetumia kila aina ya perfume lakini bado tu yaani sijielewi elewi
Naomba uninunulie pleaseHiyo ndio zawadi yangu ya mwaka mpya?
24 years back i was in high school, nimeshagunduwa exactly nini kimerisibu jukwaa hili la mmu now days.nina 24yrs nilianza kufanya mapenzi nikiwa na 21yrs
Mbona mnamjibu hivyo au hamjamuelewa, hicho kitu kipo na kimewapata wengi mtu kunukia harufu ya mpenzi wake nikitu halisi kipo japo sio kila mtu kinamtokeaHuwa nachukia sana nikipanda daladala halafu linapanda jitu kubwa zima linanuka jasho wakati deodorant zipo mpaka za buku tatu, huyu mleta mada ni mmoja katika wapuuzi hao, hivi inakuwaje mtu na akili zako kubwa zima unuke jasho badala ya kunukia uturi?
Ungeandika pafume za rasasi zinakutesa kwa sababu ndio ilikuwa brand ya huyo kishitobe wako hapo ningekuelewa ningekushauri itumie Hugo Boss au Tommy Hilfiger
Ni mwaka 1.5 hivi tangu ex-gf aniache niliumia sana tena aliniacha bila sababu ya maana. Huyu ni GF wangu wa kwanza kabisa aliyenitoa uvulana wangu na mimi BF wake wa kwanza niliyemtoa usichana wake (bikra).
Kiukweli tulipendana sana tena sana tulidumu ktk uhusiano kwa miaka 3 lakini baadae akaja kuniachia maumivu makali sana moyoni mpaka sana bado naumia moyoni.
Tatizo kubwa linalonitesa ni mwili wangu kunukia jasho lake na harufu,nikisikia harufu hiyo naanza kuumia sana nazidi kumkumbuka sana kiukweli nateseka sana kila nikitaka kumsahau nashindwa.
Msaada jamani harufu na jasho vinanitesa sana naona ni kama nuksi hivi, nimetumia malimao kujipaka mwili mzima kuondoa harufu lakini imeshindikana
Hivi wewe zinakutosha kweli?Mbona mnamjibu hivyo au hamjamuelewa, hicho kitu kipo na kimewapata wengi mtu kunukia harufu ya mpenzi wake nikitu halisi kipo japo sio kila mtu kinamtokea
shukrani mkuu kwa kejeli zakoHuwa nachukia sana nikipanda daladala halafu linapanda jitu kubwa zima linanuka jasho wakati deodorant zipo mpaka za buku tatu, huyu mleta mada ni mmoja katika wapuuzi hao, hivi inakuwaje mtu na akili zako kubwa zima unuke jasho badala ya kunukia uturi?
Ungeandika pafume za rasasi zinakutesa kwa sababu ndio ilikuwa brand ya huyo kishitobe wako hapo ningekuelewa ningekushauri itumie Hugo Boss au Tommy Hilfiger
nadhani sio mindset hii ni physically kabisa harufu ni ile ile.Ila kaka mi nadhani Ni mindset yako... The girl bado yuko kichwani kwako... Muda wote huo kupita bado unapata hizo hisia? Inabidi uanze kujifunza kumsahau taratibu...tengeneza marafiki wapya, mingle upya...taratibu utaanza kuona mabadiliko.. Hiyo Ni mindset
Mmh ... Hutaki Ku date kwa Sasa or?nadhani sio mindset hii ni physically kabisa harufu ni ile ile.
Mpaka nije kumsahau itachukua muda sana