Ninanukia jasho/harufu ya 'ex-girlfriend' wangu

Ninanukia jasho/harufu ya 'ex-girlfriend' wangu

Ni mwaka 1.5 hivi tangu ex-gf aniache niliumia sana tena aliniacha bila sababu ya maana. Huyu ni GF wangu wa kwanza kabisa aliyenitoa uvulana wangu na mimi BF wake wa kwanza niliyemtoa usichana wake (bikra).

Kiukweli tulipendana sana tena sana tulidumu ktk uhusiano kwa miaka 3 lakini baadae akaja kuniachia maumivu makali sana moyoni mpaka sana bado naumia moyoni.

Tatizo kubwa linalonitesa ni mwili wangu kunukia jasho lake na harufu,nikisikia harufu hiyo naanza kuumia sana nazidi kumkumbuka sana kiukweli nateseka sana kila nikitaka kumsahau nashindwa.

Msaada jamani harufu na jasho vinanitesa sana naona ni kama nuksi hivi, nimetumia malimao kujipaka mwili mzima kuondoa harufu lakini imeshindikana

Acha ujinga wewe tumia ALOE EVER-SHIELD

UNALETA TABIA ZA KIKWENU HEBU FUKUZA HARUF CHAF CHAF
 
nadhani sio mindset hii ni physically kabisa harufu ni ile ile.
Mpaka nije kumsahau itachukua muda sana
Nadhani inakufurahisha hiyo hali.
umesha ambiwa ni akili yako tu.
 
Ugonjwa wa akili huo! Waone wataalam haraka kabla ya hali kuwa mbaya zaidi.
 
Aaaa! Orie utanukiaj jsho la ex grlfrnd wk ck zt bhan mbna km unattania?
 
Hayo ni manukato aliyokuwa akitumia na ww nguo zako zilikuwa kauka nikuvae ndio maana yamezoea kwenye nguo zako cha kufanya ni kuanza na nguo mpya
 
Huu ni uongo wa hali ya juu mkuu,tena unajiongopea mwenyewe.

Ilo jasho unalonuka ni lakwako,acha kumsingizia mtoto wa watu.
 
mkuu acha bana embu acha kumuwaza ameshasepa na wewe sepa kwani vipi bwana
 
kwa sasa hapana sipo sawa kuanzisha uhusiano mwingne sitaki kuja kuumia tena !! akili yangu naielekeza katika kutafuta pesa tu
Uko on the right move... I have been there... BT sio kama wewe ivo kupata harufu ya ex [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] You need to get over her slowly kwanza kabla hujadate... Na hakuna MTU atakaye kusaidia Bali Ni we MWenyewe...Focus katika kazi... Hudhuria zaidi vipindi vya ibada...Sali sana...Get to know more pipo especially girls.. Who knows? Unaeza kumpata mtu akakusahaulisha yote hayo. Lakini Angalizo: Do not allow your happiness depend on someone else's presence into your life. Hukuzaliwa nae so its obvious you were happy even before you met her... Mapenzi yanaumiza sana BT LIFE MUST GO ON! You can be happy even without her... Once you realize this utahisi ulipoteza muda sana kua na stress... Time Heals. .By you really need to work hard on yourself ...

And trust me, kuanzisha mahusiano kwa sasa b4 healing on the past break up is the WORST MOVE You can make !
Goodluck!!
 
Hivi shule zinafunguliwa lini?
 
Ni mwaka 1.5 hivi tangu ex-gf aniache niliumia sana tena aliniacha bila sababu ya maana. Huyu ni GF wangu wa kwanza kabisa aliyenitoa uvulana wangu na mimi BF wake wa kwanza niliyemtoa usichana wake (bikra).

Kiukweli tulipendana sana tena sana tulidumu ktk uhusiano kwa miaka 3 lakini baadae akaja kuniachia maumivu makali sana moyoni mpaka sana bado naumia moyoni.

Tatizo kubwa linalonitesa ni mwili wangu kunukia jasho lake na harufu,nikisikia harufu hiyo naanza kuumia sana nazidi kumkumbuka sana kiukweli nateseka sana kila nikitaka kumsahau nashindwa.

Msaada jamani harufu na jasho vinanitesa sana naona ni kama nuksi hivi, nimetumia malimao kujipaka mwili mzima kuondoa harufu lakini imeshindikana
Duh..!
Kama malimao yameshindwa kukusaidia jaribu kutumia machungwa.[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
nina 24yrs nilianza kufanya mapenzi nikiwa na 21yrs
Maskini kumbe bado mtoto kabisa..duh..!
Soma kwanza mdogo wangu mapenzi yapo tu.
Halafu najiulizaga hivi huo umri wenu mnawasugua sawasawa hao mabinti au mnaishiaga kuwalambalamba tu kama matoto ya mbwa!
 
Back
Top Bottom