Ninampenda Haika Lawere

Ninampenda Haika Lawere

Dear Haika

Ninahisi Ingekuwa kukupenda wewe ni amri ya 11 basi ingempasa Musa kupanda kwenye mlima mwingine kwenda kuichukua hiyo amri. Tabasamu lako ni sawa na asali inayomiminika kutoka kwenye nchi ya ahadi. Ninachotaka kwa sasa ni kuwa mfungwa wa maisha kwenye gereza la moyo wako.

You have stolen my heart. Even Solomon with all his wisdom could not count the number of times you have stolen my heart like a sanctified thief in the midnight prayer hour. When you smile, the walls of my worries fall down faster than Jericho after seven trumpet blasts.

You are the Proverbs 31 woman mixed with holy laughter. I believe Heaven bears witness that after God created you, the angels probably whispered, “Her man will never recover from this blessing.”
Mashairi matupu yasiyo na mhimili wala vizingiti.

Oana sasa, mwaka mmoja mbali sana penzi kwishiney kulaleki.

Nadhani sifa iliyo njema imuendee mtu yule mliyeshibana naye kitabia, siyo kudanganywa na msura wa barabarani halafu unaanza kubwabwaja mauongo yako.
 
Akinikubalia atashiba tabia zangu. JF mniombee
 
Dear Haika

Ninahisi Ingekuwa kukupenda wewe ni amri ya 11 basi ingempasa Musa kupanda kwenye mlima mwingine kwenda kuichukua hiyo amri. Tabasamu lako ni sawa na asali inayomiminika kutoka kwenye nchi ya ahadi. Ninachotaka kwa sasa ni kuwa mfungwa wa maisha kwenye gereza la moyo wako.

You have stolen my heart. Even Solomon with all his wisdom could not count the number of times you have stolen my heart like a sanctified thief in the midnight prayer hour. When you smile, the walls of my worries fall down faster than Jericho after seven trumpet blasts.

You are the Proverbs 31 woman mixed with holy laughter. I believe Heaven bears witness that after God created you, the angels probably whispered, “Her man will never recover from this blessing.”
Hahaha,
Huyo Haika hadanganyiki bro, ndo sababu anawasanua wenzake.
 
Haika ni mpambanaji ,

Pili ana umagharibi

Ujiandae !!

cocastic mama mkwe anajua kawekwa kikao huku

Ila Haika ulibaruza mpk kufunguliwa nyuzi kila mara 🔥
Mpambanaji my azz

Mali karithi kwa wazazi wake

na yeye kwa ajili ana viakili kidogo wenzake wamemchagua aendeshe,analipwa mashahara kama vyenge wengine

faida ikitoka wanagawana dividents

acheni kumpaisha too much

amekuta kila kitu na wenzake wapo pembeni wanaangalia everything

acheni hizi maneno

wanawake hata kazi za kuajiriwa tu wakipata wanawehuka

mtu anafanya biashara za harusi ila yeye kila kukicha anatukana wafunga harusi hao hao....

this woman is evil

women have to learn how to handle and control their emotions when successful....they are doing a bad job in that category

mtu unapata mafanikio unageuka kichaa,does it worth it?

mwisho wa siku wanakuja kujua money will never solve their problems....

men know that ndio maana men whenever they get anything they bring to the family and make sure everybody is sorted out

women does the opposite,they get money first order of business is to get rid of the motherfvcken man,second order if to break the family up and set a new house and start afresh....and then anacheka kama juha "kafanikiwa"

yaani mtu anajenga nyumba yake kwa mikono yake,anaacha mume na watoto,anaharibu the whole thing kisa eti anatafuta "my personal peace of mind"

i see the problem is women lack wisdom......
 
Back
Top Bottom