Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 7,441
- 14,100
Ndio nani, picha
Nahisi ni member wa jfNdio nani, picha
Ndio nani, picha
Bruh kwani wangapi wanarithi zinaisha mzee ??Mpambanaji my azz
Mali karithi kwa wazazi wake
na yeye kwa ajili ana viakili kidogo wenzake wamemchagua aendeshe,analipwa mashahara kama vyenge wengine
faida ikitoka wanagawana dividents
acheni kumpaisha too much
amekuta kila kitu na wenzake wapo pembeni wanaangalia everything
acheni hizi maneno
wanawake hata kazi za kuajiriwa tu wakipata wanawehuka
mtu anafanya biashara za harusi ila yeye kila kukicha anatukana wafunga harusi hao hao....
this woman is evil
women have to learn how to handle and control their emotions when successful....they are doing a bad job in that category
mtu unapata mafanikio unageuka kichaa,does it worth it?
mwisho wa siku wanakuja kujua money will never solve their problems....
men know that ndio maana men whenever they get anything they bring to the family and make sure everybody is sorted out
women does the opposite,they get money first order of business is to get rid of the motherfvcken man,second order if to break the family up and set a new house and start afresh....and then anacheka kama juha "kafanikiwa"
yaani mtu anajenga nyumba yake kwa mikono yake,anaacha mume na watoto,anaharibu the whole thing kisa eti anatafuta "my personal peace of mind"
i see the problem is women lack wisdom......
Haika kuna tatizo analoBruh kwani wangapi wanarithi zinaisha mzee ??
Kapambana na kusimamia urithi kajitahidi lzm tumpe maua yake
Issue ya yeye kukosa hekima na busara ndo kipengele kingine hicho!!!
Sidhani kama Haika ni mbaya kiasi hiko cha kulaumiwa mzee
NotedHaika kuna tatizo analo
anajijua ana platform ya kuongea na nchi kumsikiliza,badala aongee kusaidia familia zisivunje yeye anachochea zivunjike
thats bad faith
Inaonesha wazi hata ndani ya ndoa yake she didnt do well kama mama,sasa anataka kuhamishia her failures to influence other women in the country to decimate their own families
mali wamerithi yeye na ndugu zake wa familia yao........yeye sio "Founder"....yeye ni "employee" kama wengine
amepewa kile cheo kama custodian wa wenzake...siku wanapiga kura wanamtoa hicho cheo wanaweka kenge mwingine
yeye anatuambia kafungua biashara zake ngapi na kazisimamia mpaka zikafanikiwa na ku multi-billion TZS companies?Jibu ni HAKUNA!
Unachoshindwa kuelewa ni kwamba kuna more than 40mil women in this country,very few can have cheo au mali alizonazo huyu dada,say 1% of that,which its like 400,000 women.....
The remaining 39mil women in TZ are normal hardworking women,mama mboga,walimu,mama wa nyumbani,etc....
wao wavunje nyumba zao waende wapi?na kwanini anawabagua as if kua mama wa nyumbani ni less of a human being?
Mama wa nyumbani wamelea watu wote muhimu dunia hii,huyu Haika anawaita takataka kwasababu hawana mapesa na mabiashara makubwa kama yeye,hii ni busara na hii sio ubaguzi?Huyu mwanamke Haika anajua anachokiongea kweli?
This is sad!
Akinikubalia ninamuoaHaika kuna tatizo analo

Mi siwezi kukaa na kijini kama kile hata kwa siku mojaPhares Magesa alikuwa anavumilia mengi ,kuishi na mwanamke kama Haika Lawere inahitaji moyo ya chuma na roho ya paka.
Hakika ,ngumu sana ,yaani mnakuwa kama wanaume wawili ndani.Mi siwezi kukaa na kijini kama kile hata kwa siku moja
Anayekata check ndio anaamua, hakunaga maamuzi ya watu wawili 😁Hakika ,ngumu sana ,yaani mnakuwa kama wanaume wawili ndani.
Mbona povu?? Au wewe ndio Ex wake huyo Haika Lawere.?Mpambanaji my azz
Mali karithi kwa wazazi wake
na yeye kwa ajili ana viakili kidogo wenzake wamemchagua aendeshe,analipwa mashahara kama vyenge wengine
faida ikitoka wanagawana dividents
acheni kumpaisha too much
amekuta kila kitu na wenzake wapo pembeni wanaangalia everything
acheni hizi maneno
wanawake hata kazi za kuajiriwa tu wakipata wanawehuka
mtu anafanya biashara za harusi ila yeye kila kukicha anatukana wafunga harusi hao hao....
this woman is evil
women have to learn how to handle and control their emotions when successful....they are doing a bad job in that category
mtu unapata mafanikio unageuka kichaa,does it worth it?
mwisho wa siku wanakuja kujua money will never solve their problems....
men know that ndio maana men whenever they get anything they bring to the family and make sure everybody is sorted out
women does the opposite,they get money first order of business is to get rid of the motherfvcken man,second order if to break the family up and set a new house and start afresh....and then anacheka kama juha "kafanikiwa"
yaani mtu anajenga nyumba yake kwa mikono yake,anaacha mume na watoto,anaharibu the whole thing kisa eti anatafuta "my personal peace of mind"
i see the problem is women lack wisdom......
kwahiyo ulitaka kila mtu aunge mkono hoja?Mbona povu?? Au wewe ndio Ex wake huyo Haika Lawere.?
Punguza hasiraMbona povu?? Au wewe ndio Ex wake huyo Haika Lawere.?
Yeye hakupendiDear Haika
Ninahisi Ingekuwa kukupenda wewe ni amri ya 11 basi ingempasa Musa kupanda kwenye mlima mwingine kwenda kuichukua hiyo amri. Tabasamu lako ni sawa na asali inayomiminika kutoka kwenye nchi ya ahadi. Ninachotaka kwa sasa ni kuwa mfungwa wa maisha kwenye gereza la moyo wako.
You have stolen my heart. Even Solomon with all his wisdom could not count the number of times you have stolen my heart like a sanctified thief in the midnight prayer hour. When you smile, the walls of my worries fall down faster than Jericho after seven trumpet blasts.
You are the Proverbs 31 woman mixed with holy laughter. I believe Heaven bears witness that after God created you, the angels probably whispered, “Her man will never recover from this blessing.”
Are you her spokesperson or house maid?Yeye hakupendi
BothAre you her spokesperson or house maid?
Kumpenda mtu si dhambi, tunatakiwa tuwapende wazazi wetu na majirani zetu.Umri wa mama yako ujue
Shida za kuendekeza akili za kichwa cha chini