Ninamiliki Punda wawili, nimewaweka Singida

chai ya rangi

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2026
Posts
1,041
Reaction score
3,091
idea hii ya biashara niliipata mwaka jana, na ningeipata kabla ningekua nao wengi sana,

Je Punda ana kazi gani ?
- punda ana kazi nyingi ambapo maranyingi huwa kazi ngumu kama kulima kuchota maji na kubeba mizigo

Kwanini niliwaweka Singida ?
- singida kuna mazingira mazuri yanayoruhusu ukuaji wao pia wanakua na nguvu, lakini pia wanatumika sana katika maeneo mbalimbali.
Mimi huwatumia kwa kuwakodisha ili kujipatia kipata

Lakini Jinsi Punda wanavyoopungua wanazidi kuwa kivutio cha utalii kama Farasi au ngamia.

wakiwa wengi ninampango wa kuwasafirisha hadi nchi za magharibi kwaajili ya kuwa kivutio cha utalii na maonyesho ambapo pia nitakua nikiingiza fedha zq nje
 
Nina dili lingine hapa la kitimoto hybrid
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…