Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,660
- 15,744
Uliacha kwann mkuuhivi kumbe wanatoaga warning mi nilikuwa naangalia viclip tu siku hizi nimeacha
kuna mtumishi alisema ni dhambi.. halafu akasema eti unavyoangalia zile picha kila unaye mwangalia umezini naye nikapiga mahesabu nimeshazini na wengi na moto wa milele utanihusu.. sasa nikaamua kuacha tu bora niendelee kuzini na wabarabarani bara moja kwa mwezi si mbayaUliacha kwann mkuu
eti ukampa makavu.Siku moja desktop ya boss iliharibika ikabidi niitwe mtabe nisolve, baada ya kumaliza nikacheck net kama ipo nikafungua JF kucheck nikaona kasaini in kwa id flani nikaenda kwenye thread zake nikaona mshirika mkubwa wa MMU wakati wananchi pale tunatoa salute..nikamtafuta somewhere amecomment ujinga nikampa makavu japo alireact bila kujua mm namfahamu.
Salute JF
Huwa mnaangalizia wapi?usiache kuangali umefikisha 18 kama umefikisha angalia
alikuwa mnoko kwa kazi ikabidi nilipize hukueti ukampa makavu.
alikuwa mnoko kwa kazi ikabidi nilipize huku
Kuna haja ya true identity
Ni kweli, wewe Super women 2 unawaza mbali sana, ambaya zaidi ni kukuta unachati na ndugu yakoWapendwa,
Kwenye ile mikanda ya ngono huwa kuna warning wanasemaga, 'watu utakaoenda kuwaona humu, huenda unawafahamu, aidha aweza kuwa ni dada ako, shemeji yako au hata msichana wako' kwa hiyo unachokiona humu inabidi uwe tu mvumilivu'.
Hilo tangazo lina apply in the real life... Watu tunaochat nao humu JF, pengine ukute ni marafiki au ndugu wa karibu au hata mtu na bosi wake. Kitaani tunaheshimiana ile mbaya, ila humu ndani tunavyopeana makavu.
Mmh, yani siku mtu ukija kujua kuwa mtu flani ulimrushia bonge la kichambo afu ukute ndio mjomba wako au ukute mmetongozana humu alafu kuja kuonana kitaa unakuta umemtongoza dada yako, shemeji wako au hata msichana wako aibuuu!.
Hahahaa u made my day loviehivi kumbe wanatoaga warning mi nilikuwa naangalia viclip tu siku hizi nimeacha