Ninalipenda lile tangazo la kwenye mikanda ya ngono!

Siku moja desktop ya boss iliharibika ikabidi niitwe mtabe nisolve, baada ya kumaliza nikacheck net kama ipo nikafungua JF kucheck nikaona kasaini in kwa id flani nikaenda kwenye thread zake nikaona mshirika mkubwa wa MMU wakati wananchi pale tunatoa salute..nikamtafuta somewhere amecomment ujinga nikampa makavu japo alireact bila kujua mm namfahamu.
Salute JF
Hafu anakuja na wazo et tuwe halisi
Ungempaje makavu?

Mwendo wa hata ukitongoza mkeo poa tu
 
kuna mtumishi alisema ni dhambi.. halafu akasema eti unavyoangalia zile picha kila unaye mwangalia umezini naye nikapiga mahesabu nimeshazini na wengi na moto wa milele utanihusu.. sasa nikaamua kuacha tu bora niendelee kuzini na wabarabarani bara moja kwa mwezi si mbaya
Hivi tunasali/kuabudu kwasababu tunamheshimu Mwenyezi Mungu au tunaogopa kuchomwa moto jehanamu? Nilisoma ktk uzi mmoja humu hadi sina jibu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom