SUNGA FILS
Member
- Aug 22, 2012
- 12
- 20
napinga mtanzania yeyote kwenda jkt na much more kwa mbunge! kwa mazingira ya tanzania na ya dunia ya sasa kupeleka watu jkt ni kuchanganyikiwa,ufisadi na zaidi ni kale ka mchezo ka mbuni kuficha kichwa mchangani ukijidai umejificha.tatizo tunalijua wote na sio watu kutokwenda jkt! lakini kwa sababu tumeamua tena kujidanganya kama kawaida yetu basi yatakayotupata na yatupate maana tumejipangia wenyewe kwa ujinga na uoga wetu wa kupinga mambo ya kijingajinga.Nipo njiani naja,tutakuwa pamoja huko kupiga kwata
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.

Likes Received 47
Likes Given 0
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
Wiki tatu, hayo ni mafunzo au warsha.......!mnalipwa au bure>?]
Uh Wiki Tatu nini Unajifunza?
mbona kwenye kutoa matusi hutuagi? We nenda tu sina desturi ya kumtakia kheri msaliti kama wewewana jf, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya jkt yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya nchi yangu, vijana wenzangu na chama changu.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie jf.
Wana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
mbona kwenye kutoa matusi hutuagi? We nenda tu sina desturi ya kumtakia kheri msaliti kama wewe
Wadau, nina swali kidogo.
Hivi wabunge walioishia FORM SIX nao wanaenda JKT au batch hii ni ya wale wenye degree tu?
Hii JKT ni mpango tu wa kufanya vijana wawe na uoga wa kuunga mkono upinzani kwa mwavuli waWana JF, salam!
Nategemea kushiriki mafunzo ya JKT yatakayoshirikisha wabunge vijana. Nafanya hivyo kwa ajili ya NCHI YANGU, VIJANA WENZANGU NA CHAMA CHANGU.
Nawatakia ujenzi mwema wa taifa kwa kutumia ubao huu/tuition hii ya bure itoayo elimu ya maisha ie JF.
Wewe unakula nini ndio hulala?Chips na mayai eeeh?Hujui unachokisema wewe,kula ugali ukalale!