Uongo mtupu hizo zilikuwa siasa za majitaka tu. Sijawahi hata kukutwa nimekaa popote na mke wa mtu. Mambo ya kutungwa tu nakufanya kete ya kisiasa. Kungekuwa na ukweli hali haingekuwa hivi. GT usipoteze muda kwa siasa za maji taka kwani hili halikuwasadia na waliotunga kwa ajili ya kampeni hizo. Sijawahi na wala sitegemei kutembea na mke wa mtu. Only that you dont know my wife, she is extra ordinary beatful, above all you dont know me una habari hizi tu za kuvumishwa kwa kutunga, am a servant of God