Ninakwenda mafunzo ya JKT...

Status
Not open for further replies.

Bunge la Bajeti itakuaje sasa?
 
bora uende huko maana naskia 2015 hamko tayari kukabidhi madaraka kwa wapinzani, na mlishatoa kauli kuwa ccm lazima itawale milele!
 
Ukishafika huko please mu-inform Mama watoto wako tarehe ya kumaliza tafadhali tafadhali...
 
Mh! Gamba dhaifu lililozoea kula bila kunawa liende JKT?! Hakuna kitu hapo
Mafisadi woooooote (Nkapa, Chenga, EL, Dhaifu etc) wamepita JKT sasa mnakwenda kujifunza uzalendo gani?
Wake za watu (Igunga), matusi, fitina umwachie nani?
 
Labda akili yako unaweza kiswift vizuri kidogo na kutumia vizuri na kujua why kwanini wanapigania maslahi ya taifa hili
 
Yaani hata mtu akiandika kitu positive lazima mtukane! kha!
 
Mafisadi mnapenda sana kula nchi.. Watu wangapi wamekosa hiyo chance .. Mko bungeni na huku mnaziba tena dah Tanzania haitokuja kuendelea kamwe labda mfe wote
 

Sasa unatuambia sisi ili iweje????
 
Njoo tukulambe mabuti na tutakunyosha mpaka ujue kupiga kwata!
 
Mwigulu Nchemba natumaini ukimaliza hayo mafunzo utakuwa mtu wa kujibu hoja kwa hoja badala ya kujibu hoja kwa kutupa hoja za wapinzani sakafuni na kuwatukana;
 
Last edited by a moderator:
Barua imeonesha
muda wa kuanza tu ila najua sio mwaka mmoja ni kipindi kisichopungua
wiki tatu wala si zaidi ya miezi mitatu

Angalia usitembee na wake za makamanda/askari wa kambi kama ulivyokuwa unawafanyia wake za makada wenzio. Ukifanya hivyo, makamanda watakuua baada ya kulawiti....
 
Kafunzwe kuishi na watu na kuwa mzalendo wa kwel wa hii nchi na si mshabiki wa chama

Natumani jeshi letu litamshikisha adabu kiasi ambacho hatutegemea atoke huko na aanze tena kutumia lugha chafu kwenye majukwaa ya siasa na kwingineko.

Wahusika wa JKT hakikisheni mnamuweka sawa huyu kijana...kama mnacho kitengo cha kuwaweka sawa raia wa namna ya Mwigulu Nchemba
 

Mkuu kila la heri. Ukipata fursa ya kuchungulia jf, utatujuza kinachoendelea huko.
 

Wewe kijana huna adabu. Unamwandikaje mtu kwa habari ya kusikia? Mwigulu amelifafanua mara nyingi swala hili ma kaweka wazi hajawahi kutwa ma mke WA mtu. Lete taarifa kama alikitwa Ana ku do wewe. Cameroon mini wewe
 
maajabu ya dunia kumbe na wewe ulikuwa bado ndio maana uko mlopokaji mzuri sana
 

Nchemba nakuja kwenye hiyo kambi, nitaomba tupambane mazoezi, kama hutanyosha mikono juu.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…