Ninajuta kwa niliyoyafanya

Ninajuta kwa niliyoyafanya

Unachojuta sio kumuacha huyo mtu..... Unajuta
Huna kazi, huna mtu wa kueleweka, jamaa kaoa tena ana mafanikio so unatamani we ndo ungekua wife

Tafuta kazi, maisha tuendelee shit happens unachojutia hakuna, wengine tumepitia mauza uza hapa hata uhakika wa kuingia peponi haupo!!!! Tunagonga cheers maisha yanaendelea
Word...yan mimi humu MMU huwa naingia tu kusoma ulicho-comment wewe mkuu, hilo bichwa lako litakuwa na maakili mengi sana chalii angu!
 
Word...yan mimi humu MMU huwa naingia tu kusoma ulicho-comment wewe mkuu, hilo bichwa lako litakuwa na maakili mengi sana chalii angu!
Ila hii ni chai huyu luckman mara aseme ni mwanaume mara ni mwanamke
 
Time is the biggest puzzle a human race has ever encountered..dont worry u r not alone, in a life time everyone screws up somewhere.
 
Mm ni mwanaume namshuhudia mama mmoja ambaye tukiwa vijana nilimpenda mpaka nikawa napata homa, sasa ni takribani miaka 18 imepita na mm nimeoa lakini yeye amezaa watoto wawili akiwa kwao na mchepuko uliomtelekeza lakini haachi kunikumbuka kwa sms kila siku.
Ukweli ana maisha magumu sana na huwa namhurumia ingawa nikikumbuka alivyonopiga chini enzi hizo nakosa amani.
Naombeni ushauri niendelee kumpa company au nimpotezee!
 
Msaidie to mkuu me kuna bint nilimpenda sana nikamwambia nimuoe akachomoa bas me nikao bint mwingine alivyosikia alikua paink sana akataka kujiua bas nikaa nae chin nikamweleza kunikosa mm sio mwisho wa maisha nikamwambia nitakua na ww adi nione maisha yako yana simama bas nikamwambia tafuta kaz kwanza mapenz baadae kwell kapata kaz serekalin lakan adi leo anajita sana anasema utoto na mashoga wamempoteza lakin ananieshim na mieshim akiwa na tatizo me ndo mshaul wake
 
Kuna mdau alishauri humu kuwa tuachane na watoto wa shule na vyuo badala yake TUWASUBIRI MTAANI amakweli mtaa una-shape akili🙄
 
Wanawake ndivyo mlivyo mnataka kuwa kama makocha ambao wanamchezesha cr7 kila mechi akiumia tu ndo mnajua kuwa heti kuna mtu anaweza kuingia sub, maisha yanaendelea chakata chakatua akili utapata wapi ujishikize.
 
Hicho ni kitu kidogo sana kwa mtazamo wangu. Hakika ukisikia majuto ya wengine, utakuja kufuta uzi hapa.
 
mmmh!
"toa wembe, nitoe kisu!"

If I could turn, turn back the hands of time
Then my darlin' you'd still be mine
If I could turn, turn back the hands of time
Then darlin' you, you'd still be mine
 
It is as if you are obsessed na mafanikio ya huyo kaka wawatu but sio kwamba unampenda. Ni baada ya maisha kukuchapa za uso ndipo ulipomkumbuka.

This implies endapo ungekuwa umefanikiwa kimaisha usingemkumbuka kabisa. So, forget him and look forward to finding your appropriate life companion.
 
You screwed things up, be strong to face the concequences girlie!
 
mmmmmmmmmmmmmmm...una miaka25 bado mdogo sana,sikia achana na kufikiria yaliopita huyo jamaa hakua
rizki yako,muombe mwenyezi mungu kwa sana akupe moyo wa subra..
 
Mleta mada ni aina ya wanawake wapenda vitonga.Umemkumbuka jamaa only kwa sababu maisha yamekupiga

Tafuta vyako
 
You did the right thing sweetheart, you missed the bus arleady, it's gone! Get yourself together and start afresh. The truth is you didnt like the guy, even now, you dont like him but his achievements!
Umeonaeeeeee, yaani hawa mabinti ni shida kweli. Mapenzi sio pesa asahau hicho kitu.

I like your comments mkuu maana umesema kweli tupu.
 
Back
Top Bottom