Katoto kadhuri
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 759
- 327
- Thread starter
- #161
mmh ookYani mimba yako na unatafuta mtu mwenye mimba??
Chukua pen na daftar Hesabu upya itaangua siku moja kati hizo nane ulizongonoka na mmojawao.
mmh ookYani mimba yako na unatafuta mtu mwenye mimba??
Chukua pen na daftar Hesabu upya itaangua siku moja kati hizo nane ulizongonoka na mmojawao.
haya saawaMimi najitolea, in yangu niliyekua wa kwanza kukudungua, fanya taratibu tulee mimba. Tukutane palepale jumamosi ijayo.
haya saawa,Mimi najitolea, in yangu niliyekua wa kwanza kukudungua, fanya taratibu tulee mimba. Tukutane palepale jumamosi ijayo.
MAJI YAMEREJEAAAAAAAUnaachia Sana chini mama
Mie buheri...Hahahaaa. Namshukuru Mwenyezi hofu yangu juu yako. Teh.
Mzima babu?
Hujapata tu?Kwanini nisiwepo?
Za nini tena? Pipi hailiwi ikiwa ndani ya maganda mkuuKwani condom zinauzwaga shingapi?
Dah! Nimeikosa fursa na mimi...Unaachia Sana chini mama
sijaelewa!-lakini usiumize kichwa mkuu, mwenye ujauzito ni wewe ulieubeba.
nimeamini mtoto wa kaka sio ndugu yangu ila mtoto wa dada ndo ndugu yangu!
Huo ndio ukweli.-lakini usiumize kichwa mkuu, mwenye ujauzito ni wewe ulieubeba.
nimeamini mtoto wa kaka sio ndugu yangu ila mtoto wa dada ndo ndugu yangu!
Jifunze kuthamini matatizo yanayowakabili watu wengine kabla haujawalaumuKwani condom zinauzwaga shingapi?
Nilee hiyo mimba!nikuletee nn
Matatizo mengine yakujitakia buana,kwanini acngetumia kinga kuepuka haya,Jifunze kuthamini matatizo yanayowakabili watu wengine kabla haujawalaumu
Endelea tyuu kupita pekupeku ukichomwa na mwiba utaelewaaa tuZa nini tena? Pipi hailiwi ikiwa ndani ya maganda mkuu