Ninaishi na maumivu

Wote ni wa Mungu mpenzi
Ni swala la Muda tu,
Tushukuru kwa kila jambo.
 
Jitahidi uachilie itakuumiza na itaumiza afya ya akili....mshukuru MUNGU sie tuna mipango yetu ila Mungu ana yake... Kazi yake Haina mskosa jina lake lihimidiwe



MUNGU akupe nguvu kipindi hiki kigumu polee
 
Acha nitoke kwenye huu uzi, maana hata nguo zake zipo bado, nilienda mwezi wa 7 kutengeneza kaburi lake, nikakuta pembezoni kuna makaburi mapya ya malaika wengine, niliumia sana sana, bora ningekufa mie ila mtoto akabaki nae ale maisha 🙌
Nguo zake zote zipo hapa ndani anavaa binti yangu...ndo maana hata naumia daily
 
Pole sana kifo hakina taarifa binadamu duniani tunapita tu
Kama hina mtoto Mungu atamrudisha kwaajili ako kupitia wewe ameen
 
Ni jambo la kuhuzunisha sana a linalokuambia Kwa sauti ya ukali kuwa haya ni mapito.

mungu akusimamie,arudishe tabasamu lako tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…