Ninaishi na maumivu

Pole sana; always a happy soul here Mungu akutie nguvu please❤️❤️
 
Pole sana Eve, utapona tatatibu na maumivu yatapungua kadri muda unavyoenda.

Tunamshukuru Mungu kwa maisha ya Mirabel, aendelee kupumzika kwa amani 🙏🏽💔
 
😭 Ngoja nikutag kwenye Uzi wa mambo asiyopenda kufanyiwa mwanaume....then urudi tena kulialia msibani hapo.Naomba umpe pole huyu dada tafadhali
 
Hadi nimecheka, thanks.....😃
 
One thing which am sure Mirabel wanted you to be happy

We believe that watu waliotangulia katika Bwana wapo pamoja nasi kiroho... Imagine Mirabel akija kukusalimia anakukuta katika huzuni utamfanya hata yeye huko alipo ahuzunike pia

Hii ni iman yangu naamini hivyo...

Mtoto wa miaka sita ni malaika hata dhambi bado hajazijua ni pure Angel... Na Amerudi kwa malaika wenzake.. kazikimbia tabu za dunia na dhiki amini hivyo

Naamini utalud kuwa sawaa Mungu akusaidie kipind hiki kigumu

Amen
 
Dunia simama tushuke huku unakotupeleka siko😃😃😃
 
Amen, ninashukuru
 
Evelyn Salt hakuna maneno ya faraja ambayo utamwambia mfiwa na akaweza kukuelewa...

Lakini binafsi kitu pekee kimeweza nisaidia kutokuishi na uchungu, ni kukubali kuwa kifo kipo na kipo nasi kama kivuli...

Wanadamu tunaozaliwa na mwanamke, hatuna budi kujua ya kwamba kufa kupo na kunahusu walio hai...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…