Ninahitaji ushauri wenu, Jinsi ya kublock mtu Google+

millers

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
257
Reaction score
34
WanaJF,

Mimi nimeolewa naishi na mme wangu. Sasa kuna kaka ambae alikua rafki yangu kabla sijaolewa, sasa uyo kaka alini add kwenye google+ yake, kama mnavojua nikiwa naangalia google image zangu na picha zake zinakuja. Sasa inaniletea migogoro katika ndoa yangu coz pics nyingine anapiga amelala kitandani na kila siku anaongeza pics.

Naomba ushauri wenu..
 
una umri gani kwanza umeandika kitu ambacho hakieleweki picha za uchi au picha gani hizo .
 
Wana jf mimi nimeolewa naishi na mmewangu sasa kuna kaka ambae alikua rafkiyangu kabla sijaolewa sasa uyo kaka alini add kwenye google+ yake kama mnavojua nikiwa naangalia google image zangu na picha zake zinakuja sasa inaniletea migogoro katika ndoa yangu coz pics nyingine anapiga amelala kitandani na kilasiku anaongeua pics naomba ushauri wenu

m-block huko google+ unasumbuka nini?
 
Wana jf mimi nimeolewa naishi na mmewangu sasa kuna kaka ambae alikua rafkiyangu kabla sijaolewa sasa uyo kaka alini add kwenye google+ yake kama mnavojua nikiwa naangalia google image zangu na picha zake zinakuja sasa inaniletea migogoro katika ndoa yangu coz pics nyingine anapiga amelala kitandani na kilasiku anaongeua pics naomba ushauri wenu
delete google+ au muondoe kwenye network yako

BTW, kwanini uanze kulink na mtu anayeweza kukuletea matatizo ndani ya ndoa?
 
Wana jf mimi nimeolewa naishi na mmewangu sasa kuna kaka ambae alikua rafkiyangu kabla sijaolewa sasa uyo kaka alini add kwenye google+ yake kama mnavojua nikiwa naangalia google image zangu na picha zake zinakuja sasa inaniletea migogoro katika ndoa yangu coz pics nyingine anapiga amelala kitandani na kilasiku anaongeua pics naomba ushauri wenu

Nyege zingine mbaya sana.
Si useme unamtamani tu kuliko kuleta longolongo hapa?

Ndio maana ndoa zenu hazidumu nyie. We una mume Google account yenye picha ya madume ya mbegu yako kitandani ya nini?
Km ni mimi nimeshakupwaga makofi 50 na teke la makalio mpka nje ya geti.
Samaki wa blue.
 
Nitajie pasiwedi zako Pm nikusaidie tatizo lako very soon..
 
kwani mtu akikuadd kwenye google plus anaweza kuangalia pich ambazo zipo kwenye google store?
 
Back
Top Bottom