WanaJF,
Mimi nimeolewa naishi na mme wangu. Sasa kuna kaka ambae alikua rafki yangu kabla sijaolewa, sasa uyo kaka alini add kwenye google+ yake, kama mnavojua nikiwa naangalia google image zangu na picha zake zinakuja. Sasa inaniletea migogoro katika ndoa yangu coz pics nyingine anapiga amelala kitandani na kila siku anaongeza pics.
Naomba ushauri wenu..