Ninahitaji ushauri wa haraka wadau wa jukwaa hili!!

zantel wana katangazo chao...
duniiiiaaa hiiiii nimwachie naaaaaniiii
ugali huuu mtamu sikifaniiiiii
ukimwi huuu nimpatie naaaniiiii
mkwara wa kujiuuua nimpige naaniii
na mbunye hii ataitaka naaaniiii ........
mwisho wa kunukuu .
USHAURI
fanya maarifa umchape nao
 
Jaman unataka Mungu akupe nin tena...sepa wew utakufa
sio suala la kujaribu ngoma haijaribiwi
 
zantel wana katangazo chao...
duniiiiaaa hiiiii nimwachie naaaaaniiii
ugali huuu mtamu sikifaniiiiii
ukimwi huuu nimpatie naaaniiiii
mkwara wa kujiuuua nimpige naaniii
na mbunye hii ataitaka naaaniiii ........
mwisho wa kunukuu .
USHAURI
fanya maarifa umchape nao

uwiii...yani nalikubali sana ilo tangazo...asante kunigusa bana!
 
mm nahisi hata mzigo umekula...maana kama hujala na mtu kakwambia anaNGWENGWE...iwe utani au kweli,ungeshaachana nae...ww umechapa...sasa unatafta faraja hapa!
 
Possibility kubwa, inawezekana anakupima tu akili ili ajue km unampenda kwa dhati. Chukua muda, utulie, jitahidi kuwa karibu naye ila usijihusishe naye kimapenzi,baada ya kitambo hali mliyokuwa nayo kwa ss itapita, hapo utachukua maamuzi yanayofaa km kw rafiki wa kawaida na kutafuta mpenzi au kuendelea naye ikiwa utabaini alikuwa anakupima tu.

anily naunga mkono hoja kama vipi awe mvumilivu tu pia aombe vithibitisho wadada wa siku hizi wanataka mtu ambaye atawavumilia kipindi cha matatizo labda anampima ajue kama jamaa ni mmoja wa wanaume wa kundi hilo au la?
NB:usifanye nae we show a lot of cares huku unachunguza ukweli.
 
Msisitize tu kuwa hata wewe hujiamini afya yako hivyo muongozane tena.. Kama kweli anakupenda atakubali kwenda... hii itasaidia wote wawili kupata "ushauri nasaha"(maana wale wamesomea) ya maisha na VVU na mpenzi asiye na VVU..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom