NINAHITAJI MSAADA WENU WAPENDWA

Weka wazi ili watu wakushauri kwa ukubwa wake, sasa wanahangaika km lamli la manyaunyau inakuwaje.
 
Sasa wewe umeolewa na mchawi afu unataka tukushauri

Ondoka hapo utatolewa kafara kijinga
Kimbia kabisa
 
Eee mungu baba bisaidie
Acha kuzidi kutiwa hofu. Yeyote uliyekutana nae, unayekutana na utakayekutana nae kwenye safari yako ya maisha alishapangwa kabla hujazaliwa. Baba, mama, mume wako, watoto wako, wote ni zawadi uliyopewa na dunia bila kujali kasoro au maumivu wanayokupa. Tafuta sehemu ya peke yako kwa ukimya kabisa kisha iambie nafsi yako kuanzia sasa iache hofu na wasi wasi na ianze kuishi kadri maisha yanavyotaka. Jitahidi dakika 5 kabla hujalala utulie kimya na uishukuru siku kwa kukufikisha muda wa kulala, jitahidi katika dakika hizo 5 uondoe hofu na kila aina ya negativity ya kutwa nzima, vivyo hivyo asubuhi ukiamka kabla hujaanza chochote tafuta utulivu wa dakika chache na kisha tamka kwamba siku yako itakuwa nzuri zaidi ya jana, waza vitu positive tu kwa siku nzima (jitahidi ulale mapema na uamka mapema). Fanya hayo mazoezi kwa wiki moja tu uone kama kuna matokeo ya hayo kupungua kwa hayo unayopitia au lah. Nakutakia dozi njema.
 
Pole sana Marcy,
Tunakuombea uvuke salama kwenye haya mapito!!
 
Kuna mtu soon anakua kichaaa,jaribu kukaa na watu wakaribu marafiki,njichanganyee hiyo ni phychology problem.utachanyanyikiwa siku si nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…