ninahitaji mchumba!!

Kama kweli mnashida na wachumba mcheki hapa MCHUMBA18.BLOGSPOT.COM

hongera kama ni ya kwako,sema ungeongezea kipengele cha wasifu wa huyo mtu anayetafuta mchumba,mfano wasifu wangu ni mnene,mkristu nk
 
NINAHITAJI MCHUMBA WA KIKE SICHAGUI DINI WALA KABILA,AWEMREFU WA WASTANI AWE ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA,MCHAMOLA MWENYEMAPENZI YA DHATI,AWE ANAAJIRA AU AMEJIARIRI,AWE ANAJITUMA NA MUADILIFU,MSAFI ANAYEJIPENDA, UMRI WAKE KUANZIA 18-30

MIMI NI MFANYAKAZI KTK KAMPUNI FLANI NAJITEGEMEA, UMRI WANGU NI MIAKA 28 KIPATO CHANGU NI CHA KAWAIDA NI MSKRISTO SAFI NAJITEGEMEA,MCHAPAKAZI,MAMBO MENGINE YATAFUATA MARA BAADA YA MWASILIANO KWA MAWASILIANO NI

chibobo2011@yahoo.com

Mtafuto mwema mkuu, utafanikiwa tu ila angalia ucjeuziwa mbuzi kweenye gunia!

Mama karibu umetafutwa kwelikweli, vipi operation umepita salama?
 
Nashukuruni nyote mlionipa msaada wa mawazo, na maoni na mitazamo juu ya Imani na utamaduni wa kidini katika kuchagua mweza.

Nimejifunza kitu kizuri.
 
NINAHITAJI MCHUMBA WA KIKE SICHAGUI DINI WALA KABILA,AWEMREFU WA WASTANI AWE ANAJUA KUSOMA NA KUANDIKA,MCHAMOLA MWENYEMAPENZI YA DHATI,AWE ANAAJIRA AU AMEJIARIRI,AWE ANAJITUMA NA MUADILIFU,MSAFI ANAYEJIPENDA, UMRI WAKE KUANZIA 18-30

MIMI NI MFANYAKAZI KTK KAMPUNI FLANI NAJITEGEMEA, UMRI WANGU NI MIAKA 28 KIPATO CHANGU NI CHA KAWAIDA NI MSKRISTO SAFI NAJITEGEMEA,MCHAPAKAZI,MAMBO MENGINE YATAFUATA MARA BAADA YA MWASILIANO KWA MAWASILIANO NI

chibobo2011@yahoo.com

kwa hapa jamvini unajisumbua mkuu. These potential female partners around here are overly repulsive. Try other sources, brother
 
ok! kiwa mnene sawa mwembamba sawa kwani mkebora sio umbo rangi aliyonayo wala dini ila pendekezolangu kubwa ni mkristo na kabila ni lolote,ahsante
 
hey um ben lukin 4 a galfrend or mchumba,umri wake usizidi miaka 21,mimi ni mwanafunzi wa university n my age ni 21..no 0762328290
 
Mimi sio mdini lakini huwa nikiona mtu anatafuta mchumba/mke halafu anasema dini yoyote???? Mi sijui namchukulia je?? Manake Imani kwa Mungu, jinsi ya kuabudu, na utamaduni wa kidini kwangu mimi ni moja ya mambo yakuangalia kwa mtu ninayefikiria anaweza kuwa mke/mume.

Ni mawazo yangu tu!! Yawezekana nikielimika zaidi naweza kubadilika, lakini nahisi nina kamsimamo fulani juu ya hilo.
msimamo wako ni amin na hakika, uzingatie.
 
Mimi ninakila sifa ulizotaja hapo ila unanyumba yako mwenyewe? maana sipendi kukaa nyumba za kupanga usafiri je?

Hamna mchumba hapo, ni tamaa tu, hata kama ana gari au nyumba, unajua alivipata vp? Ondoa tamaa mdada,unaweza ukakosa mwenza mzuri wa maisha kwa nyodo zako za kutaka vizuri.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom