C Charliemic JF-Expert Member Joined Feb 17, 2019 Posts 604 Reaction score 979 Apr 17, 2020 #1 Ninataka kufuga nyuki wadogo, maeneo ya Kibaha!! Ninaomba mwenye uzoefu anijuze wapi nitawapata nyuki na gharama zake zipoje!
Ninataka kufuga nyuki wadogo, maeneo ya Kibaha!! Ninaomba mwenye uzoefu anijuze wapi nitawapata nyuki na gharama zake zipoje!
Canberra Senior Member Joined Mar 23, 2020 Posts 176 Reaction score 362 Apr 17, 2020 #2 mcheki Mbao za Mawe
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,415 Reaction score 5,265 Apr 17, 2020 #3 Charliemic said: Ninataka kufuga nyuki wadogo, maeneo ya kibaha!! Ninaomba mwenye uzoefu anijuze wapi nitawapata nyuki na gharama zake zipoje! Click to expand... Wanapatikana Mby kwa jamaa yangu mmoja. Njoo Pm nikupe simu yake.
Charliemic said: Ninataka kufuga nyuki wadogo, maeneo ya kibaha!! Ninaomba mwenye uzoefu anijuze wapi nitawapata nyuki na gharama zake zipoje! Click to expand... Wanapatikana Mby kwa jamaa yangu mmoja. Njoo Pm nikupe simu yake.
C Charliemic JF-Expert Member Joined Feb 17, 2019 Posts 604 Reaction score 979 Apr 17, 2020 Thread starter #4 Malila said: Wanapatikana Mby kwa jamaa yangu mmoja. Njoo Pm nikupe simu yake. Click to expand... Mbeya!??? Nataka kufanyia ufugaji Kibaha!! Nahitaji maeneo jirani mkuu
Malila said: Wanapatikana Mby kwa jamaa yangu mmoja. Njoo Pm nikupe simu yake. Click to expand... Mbeya!??? Nataka kufanyia ufugaji Kibaha!! Nahitaji maeneo jirani mkuu
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,415 Reaction score 5,265 Apr 18, 2020 #5 Charliemic said: Mbeya!??? Nataka kufanyia ufugaji Kibaha!! Nahitaji maeneo jirani mkuu Click to expand... Maeneo ambayo unaweza kupata nyuki wadogo kwa urahisi ni mikoani, hasa mapori ya Chunya, Tabora, Singida na baadhi ya maeneo ya Morogoro, Iringa.
Charliemic said: Mbeya!??? Nataka kufanyia ufugaji Kibaha!! Nahitaji maeneo jirani mkuu Click to expand... Maeneo ambayo unaweza kupata nyuki wadogo kwa urahisi ni mikoani, hasa mapori ya Chunya, Tabora, Singida na baadhi ya maeneo ya Morogoro, Iringa.
ichumu lya JF-Expert Member Joined Aug 11, 2016 Posts 2,649 Reaction score 2,795 Apr 18, 2020 #6 Malila said: Maeneo ambayo unaweza kupata nyuki wadogo kwa urahisi ni mikoani, hasa mapori ya Chunya, Tabora, Singida na baadhi ya maeneo ya Morogoro, Iringa. Click to expand... Wanasafirishwaje Mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
Malila said: Maeneo ambayo unaweza kupata nyuki wadogo kwa urahisi ni mikoani, hasa mapori ya Chunya, Tabora, Singida na baadhi ya maeneo ya Morogoro, Iringa. Click to expand... Wanasafirishwaje Mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app
M Malila JF-Expert Member Joined Dec 22, 2007 Posts 5,415 Reaction score 5,265 Apr 18, 2020 #7 ichumu lya said: Wanasafirishwaje Mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nyuki wadogo normally hawaumi, kwa hiyo inabidi upate kibali cha Maliasili, na unaweza kusafiri nao ndani ya gari lako bila shida. Lazima uwe na mzinga salama kwao.
ichumu lya said: Wanasafirishwaje Mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Nyuki wadogo normally hawaumi, kwa hiyo inabidi upate kibali cha Maliasili, na unaweza kusafiri nao ndani ya gari lako bila shida. Lazima uwe na mzinga salama kwao.
blacksamurai JF-Expert Member Joined Jan 1, 2019 Posts 392 Reaction score 661 Apr 19, 2020 #8 Ni imani yangu unafahamu kuhusu ufugaji wa hao nyuki wadogo. Hawapendi usumbufu wa aina yeyote ile au watahama wote Sent using Jamii Forums mobile app
Ni imani yangu unafahamu kuhusu ufugaji wa hao nyuki wadogo. Hawapendi usumbufu wa aina yeyote ile au watahama wote Sent using Jamii Forums mobile app
M mulaga JF-Expert Member Joined Sep 2, 2019 Posts 3,153 Reaction score 2,914 Apr 22, 2020 #9 ichumu lya said: Wanasafirishwaje Mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ulizia Mali asili.
ichumu lya said: Wanasafirishwaje Mkuu! Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Ulizia Mali asili.