Ninahisi Nimeadhirika na Ugonjwa wa Ukimwi

Kikelelwa

Senior Member
Dec 14, 2010
179
124
Nduguzanguni.

Mimi ni mkazi wa Shinyanga, I have my Girlfriend in Dar.

I came To Dar from The Monday of Last week.

Nimekuja purposely kumtimizia haja Girlfriend wangu kimapenzi.

Ukweli we no longer use any sought of protection, actually tunataka kufunga ndoa and we agreed that I have to be sure of her Fertility.

its almost a week and half since we are having sex. (unprotected)

Cha ajabu ni kwamba jana, nimeona kitu kama usaha kwenye njia ya mkojo ya uume wangu.

Am I not a walking dead creature.

yaani hapa nashindwa sasa naanzaje kwenda kupima ukimwi na hii viral inspection.

Please advise.

Thanks in advance

Kikelelwa.

GUYS THANKS GOD TESTED AND NEGETIVE:

NIMESHAPIMA MARA TATU

WANAWAKE SIO WAKUWAAMINI.
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,802
24,505
kikelelwa, pole sana kwa yaliyokusibu. hongera kwa kufikia hatua hiyo na mchumba wako. lakini nashangaa unapoongelea fertility yake, je wewe una uhakika na fertility yako? unaweza kukuta na wewe una matatizo! kwa sasa huna ujanja kwa dalili ulizoona kwako. ni muhimu sana upate tiba ya huo usaha kabla ya kuanza kudeal na suala la hiv. magonjwa ya zinaa yanaweza kukusababishia wewe na mpenzio kupata ugumba/infetility. mueleze mwenzio hali hiyo na mkapate matibabu haraka. suala la nani aliyeingiza balaa ndani mtamalizana baadae baada ya kutibiwa. kila la kheri,tafadhali hakikisha mwenzio pia anapata matibabu.
 
Mama Mdogo

JF-Expert Member
Nov 21, 2007
2,952
2,111
Given kwamba uko kwa mchumba wako tangu jumatatu last week (5 Sept) na kwamba jana (14 Sept) umeona dalili za usaha, kuna 50 % chance kwamba umepata uambukizo toka kwa mpenmzi wako wa Dar, na 50 % chance kwamba umekuja na huo uambukizo toka Shinyanga. Kwa kuwa umeambukizwa ugonjwa wa ngono huambatana na wakati mwingine na uambukizo wa HIV, na kuna 50 % chance kuwa vile vile umeambukizwa na HIV. Ushauri wa bure, wewe na mchumba wako mwende kituo cha huduma za afya mkapime na kutibiwa huo uambukizo wa awali, na mpate ushauri mpime HIV status. Zingatia!!!
 
OTIS

JF-Expert Member
Sep 7, 2011
2,237
799
ukimwi ndani ya siku moja na umegundua kwa usaha? Umepata STI wewe,wahi hospital ngosha.
Umekaribishwa jijini.
 
TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
22,631
8,443
hivi ni nani alisema mtu mwenye HIV ni dead man walking???

back to topic, nenda hospitali jieleze na utatibiwa, pimeni HIV na tibuni hilo gonjwa la zinaa
 
figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
19,540
23,950
unaweza kuta ni gono au mkojo mchafu tu huo.nenda hospital na mpenzi wako watawapeni dawa.jinsi unavyochelewa ndivyo maumivu yanazidi hasa wakati wa kukojoa.mi mwenyewe shapatwa na hilo tatizo nikaenda hospital dr. akaniambia mkojo mchafu.uwe unakojoa kila unapomaliza kuduu.kuna vidonge alinipa nikameza ngoja nimuulize dr jina lake ntakupm.hakikisha na demu wako unamsimamia atibiwe huwa hawapendi.mkuu jitahidi kucondomize.unaweza kupima vvu kama kiroho hakidundi.kupima siyo ishu,ishu ni kuchukua majibu.mia
 
Alexism

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
3,423
2,039
Kuishi na VVU siyo kuwa umekufa bwana,dah na STD/STD haimanishi kuwa na VVU,tibu ilo gonjwa na pima VVU na kuzingatia ushauri.
 
mareche

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
473
95
kama hujui kingereza usiandike unaleta usharobaro hapa jamvin kapime ukimwi kwanza
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,770
6,521
Nduguzanguni.

Mimi ni mkazi wa Shinyanga, I have my Girlfriend in Dar.

I came To Dar from The Monday of Last week.

Nimekuja purposely kumtimizia haja Girlfriend wangu kimapenzi.

Ukweli we no longer use any sought of protection, actually tunataka kufunga ndoa and we agreed that I have to be sure of her Fertility.

its almost a week and half since we are having sex. (unprotected)

Cha ajabu ni kwamba jana, nimeona kitu kama usaha kwenye njia ya mkojo ya uume wangu.

Am I not a walking dead creature.

yaani hapa nashindwa sasa naanzaje kwenda kupima ukimwi na hii viral inspection.

Please advise.

Thanks in advance

Kikelelwa.

hihiiiiiiiiiiii mami ulisatake na magono
 
Jeji

JF-Expert Member
Jun 28, 2011
1,976
363
pole kaka, wahi hosp wewe na mpenzi wako mkapate matibabu haraka.
 
Nyalotsi

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
6,618
4,451
hivi ni nani alisema mtu mwenye HIV ni dead man walking??? <br />
<br />
back to topic, nenda hospitali jieleze na utatibiwa, pimeni HIV na tibuni hilo gonjwa la zinaa
<br />
<br />
ndo maana waathirika wanasambaza vvu makusudi ili tufe wengi! Hizi kauli za unyanyapaa inabidi jamii tuziepuke ili na waathirika wacjione cio wanajamii. Ndo maana cku hizi hata makanirani wamebadili perception kuhusu huu ugonjwa kwa sabab jamii nzima imekumbwa na hili tatzo. Wanaopata hiv cyo wote walitafuta,kuna walioletewa na wapenzi wao wa dhati,na watoto ambao huambukizwa na mama zao.
 
Azimio Jipya

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
3,363
1,117
Given kwamba uko kwa mchumba wako tangu jumatatu last week (5 Sept) na kwamba jana (14 Sept) umeona dalili za usaha, kuna 50 % chance kwamba umepata uambukizo toka kwa mpenmzi wako wa Dar, na 50 % chance kwamba umekuja na huo uambukizo toka Shinyanga. Kwa kuwa umeambukizwa ugonjwa wa ngono huambatana na wakati mwingine na uambukizo wa HIV, na kuna 50 % chance kuwa vile vile umeambukizwa na HIV. Ushauri wa bure, wewe na mchumba wako mwende kituo cha huduma za afya mkapime na kutibiwa huo uambukizo wa awali, na mpate ushauri mpime HIV status. Zingatia!!!

Ushauri wa kuzingatiwa!!
 
Mwanaweja

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
3,575
521
usihofu mkuu maisha ni safari ndefu utakumbana na visiki na mambonde hilo ni jaeribu lako kubwa nenda hospital lakini usisahau kumchukua mpenzi wako mengine mumtumaini Mungu maisha yenu yatabadilika
 
Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,091
4,220
Kwanza umeniudhi kusema ami a walking.... Huo ni unyanyapaa what if km kweli una HIV?? Nenda kapime na upate ushauri nasaha mapema......
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom