Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

Keshakula huyo... Ushawishi una nguvu sana.
Hajamla, ni Mwanangu hawezi nificha huyo boss anaishi hizi nyumba za GSM zipo pale round about ya Whitesands. Jambo lingine alimuuliza kama anaeza pata demu alafu aende nae kwenye apartment amchakate mbususu yeye akiwa anaangilia. Anasema anakuwa na Furaha akiona mwanaume anachakata mbususu mbele yake.
 
Aisee!! Hali ni mbaya sana. Kuweni makini hao jamaa wana Wivu wa Kingese sana.
 
Angalia itakuwa anatafunwa kama wasanii wetu wengi nasikia wanatafunwa ndo wanapata hela ya kumiliki magari ya kifahali na show off
 
Kuna mdau humu kampiga pira afande wa kiume [emoji39][emoji1787]
 
Mjini kuna watu wanapitia mengi ili mradi wafanye show off za insta.
Muombee kheri tu maana sometimes nyuma ya hizo bata anazokula kama hana uwezo wa kuzigharamia bhasi kuna risks na maumivu mengi 🙏
 
Hii habari ingeambatqna na picha inge noga sana ili tujue ni wivu wako au kuna kaukweli haya tunayo hisi
 
inaonekana unavijitabia vya ajabu vya kufukunyua maisha ya watu,kwa nn anavaa vizuri,kwa nn kqnunua gari jipya, n.k.wanaume ma fighters hawanaga shobo Kama hizo. pesa sio kitu kigumu kukimiliki ,so usione ajabu ,hata wewe unaweza kuwa zaidi na huyo mahikqji wako. acha wivu,na kudasisi maisha ya watu,just mind ur own business.
 
Nimefatilia comments za watu kuhusu Historia yako huko nyuma...Kwani kama umeamua kujitenga na Huyo mwana mpaka na sisi tujue!..Ila mradi Mwana ameamua kutumia tundu yake kwa faida.
 

Shida ni kwamba kama anafanya harakati haramu,huoni kwamba namimi possibility ya kuwa involved ipo kutokana na mazoea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…