Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

Ili mradi avunji sheria za nchi..muache kijana atumie..na Kama hisia zako zinakutonya ukae mbali nae Basi fanya hivyo
 
Naomba niende straight kwenye point, kuna mshikaji wangu age ya miaka 23 hivi, tokea nifahamiane nae ni kama mwaka hivi. Toka tufahamiane tumekuwa na bond sana kwenye clubs au sehemu za bata ndogo ndogo huwa tunaenda ila mara nyingi huwa ninagharamia bills kwa maana yeye huwa kazi hana alikuwa anafanya kazi katika company moja hivi bahati mbaya ikafungwa so akawa hana mishe.

Sasa cha kushangaza siku hizi mwana naona anapiga picha yupo hoteli nzito nzito akiwa na taulo anakula maisha pembeni yupo na vinywaji, mimi najua hana mishe za kumpeleka huko, ukimuuliza anakuambia kawaida tu, sasa juzi naona anamiliki macho matatu, nikashtuka mtu alikuwa anatumia tecno leo ana simu ya milioni mbili na ,nimeshangaa sana.

Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana, Isije ikatokea ya kutokea na mimi nikawa involved
Mliwa au mlaji au chawa beware
 
Kuna mwana tulikuwa naye mitaa ya kigogo Luhanga...
Yule jamaa akahama koz alikuwa anakaa na mama wa kambo amabye alikuwa anamtesa akahamia kinondoni....siku nimekutana naye baada ya miaka kadhaa alikuwa nywele kaweka dawa....anavaa kama wakongo...Sasa ukijimlisha na mambo ya kinondoni na alikuwa na mwili wa nyama nyama hivi..watu wakamzushia kuwa ni shoga. Sasa sijui yeye alichukuliaje...sisi tuliyekuwa naye tunafahamu hakuwa na hayo mambo utotoni kabisaaaaa..

Akawa kuna baa anapenda kuja kunywa pale mtaani ile mambo ya kuweka heshima baa...tena ya mtaani alipokulia...baada ya miezi kama nane ile baa ikapigwa tukio na majambazi....hakuna aliye mdhania mshkaj hata kidogo....

Mwaka 2018 nakutana na mwana tuliyekuwa wote utotoni ktk maongezi akaniambia mshikaj alishawai kumfuata na kumshawishi waingie ktk ujambazi na wa kutumia silaha za ncha kali.
Nikaja unganisha matukio kuhisi inawezekana jamaa aliona kitu cha kujifichia ktk uovu ninkuonekana kama shoga shoga kumbe ana ficha mambo fulani.

Kuwa makini na huyo jamaa inawezekana anachokuonesha ndicho anachotaka ukiamini.
huyo jamaa alikuwa genius
 
Nimefatilia comments za watu kuhusu Historia yako huko nyuma...Kwani kama umeamua kujitenga na Huyo mwana mpaka na sisi tujue!..Ila mradi Mwana ameamua kutumia tundu yake kwa faida.
Tundu tenaaa
 
Ngoja nikwambie kitu mzee.. wasikudanganye sijui una wivu, sijui nini, trust sana your insticts, huwa hazidanganyi. Pesa ni ngumu mno mtaani kwa sasa hivi, yaani ngumu mno hizo hela za bata, simu macho matatu kwa kipindi cha muda ulioandika sio rahisi kuzipata hivyo bila kazi ya halali inayoonekana (japo na kwa hali ya biashara sasa hivi aio rahisi pia) watafutaji naamini wananielewa

kama sio mambo ya kishenzi kajiingiza basi unga.. kuna mstari mwembamba sana kati ya hayo na vijana sisi kwa sasa hvi.. narudia trust your insticts
Mtu asiekuwaa na Kazii na hata wazazi wake hawana uwezooo alafu akawa anaishi maishaa ya juuu... Obviuos kuna kitu cha haramu anafanya nyuma ya paziaa kwa haya maisha ya bongo ngumu sanaa yanii
 
Mtu asiekuwaa na Kazii na hata wazazi wake hawana uwezooo alafu akawa anaishi maishaa ya juuu... Obviuos kuna kitu cha haramu anafanya nyuma ya paziaa kwa haya maisha ya bongo ngumu sanaa yanii
Watu watamshangaa tu jamaa, ila pesa ni ngumu sana rikiboy ku survive mjini na kula bata sio kimasihara aisee.. mimi instict ikishani alert huwa sijiulizi mara mbili
 
Hakuna Cha haramu ,App nzuri ya kuwekeza na iko playstore na rate ya 4.9* ,kwa walio serious join njoo pm nikupe muongozo nb tumia Vodacom number... Vue App

Screenshot_20220519-190528.png

Screenshot_20220519-184624_1.jpg
 
Anaweza kuwa analiwa au anakula.
Kuna matajiri wana hela za masharti:- ili ziendelee kuwepo inabidi aliwe, inawezekana kuna tajiri analiwa
 
U N A W A S H W A

Wapemba walivokaa na wachaga walisema "Chuki huzaliwi nayo,, ila unajikuta nayo ukubwani"

Wewe sasa unaogopa usichokijua,, Fear of unknown,,, kwani kuna ulazima wa wewe kujua dili anazopiga mwana..?? ukijua itakusaidia nini..?? Je unahisi wewe kwake ni rafiki wa karibu kama unavofikiria...???

Yajue ya kuzingatia mkuu,,,Mjini hapa kuna madalali wana connect deals kubwa na wakipata 10% yao unaweza kuta ni mshahara wa miaka 5 ya mwalimu...

Acha kumuwazia mabaya mwana,,, kuonekana hotel sio utajiri.. huenda anapewa Offer tu then ana show off...
 
Wagalatia 6:1-10 BHN

Ndugu, kama mkimwona mtu fulani amekosea, basi, nyinyi mnaoongozwa na Roho mwonyeni mtu huyo ajirekebishe; lakini fanyeni hivyo kwa upole, mkiwa na tahadhari msije nanyi wenyewe mkajaribiwa. Saidianeni kubeba mizigo yenu na hivyo mtatimiza sheria ya Kristo. Mtu akijiona kuwa ni kitu, na kumbe si kitu, huyo anajidanganya mwenyewe.

2 Wathesalonike 3:15

Lakini msimtendee mtu huyo kama adui, bali mwonyeni kama ndugu.

Marko 4:22 BHN

Basi, kila kilichofichwa kitafichuliwa, na kila kilichofunikwa kitafunuliwa.

Wagalatia 5:16-26 BHN

Basi, nasema hivi: Mwenendo wenu na uongozwe na Roho, nanyi hamtafuata tena tamaa za kidunia
 
Mmmh sio udalali nakataa
 
Sawa mtumishi
 
Naomba niende straight kwenye point, kuna mshikaji wangu age ya miaka 23 hivi, tokea nifahamiane nae ni kama mwaka hivi. Toka tufahamiane tumekuwa na bond sana kwenye clubs au sehemu za bata ndogo ndogo huwa tunaenda ila mara nyingi huwa ninagharamia bills kwa maana yeye huwa kazi hana alikuwa anafanya kazi katika company moja hivi bahati mbaya ikafungwa so akawa hana mishe.

Sasa cha kushangaza siku hizi mwana naona anapiga picha yupo hoteli nzito nzito akiwa na taulo anakula maisha pembeni yupo na vinywaji, mimi najua hana mishe za kumpeleka huko, ukimuuliza anakuambia kawaida tu, sasa juzi naona anamiliki macho matatu, nikashtuka mtu alikuwa anatumia tecno leo ana simu ya milioni mbili na ,nimeshangaa sana.

Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana, Isije ikatokea ya kutokea na mimi nikawa involved
Rejea yule tapeli wa Nigeria na kujitanua kwake katika mitandao ya Kijamii. Isijekuwa na hayo hayo anayofanya huyo mwana. Ila mwana kulitafuta mwana kulipata.
 
Sasa unafuatilia maisha yake ili iweje je angekuwa anakuomba hela ingekuwaje?si ndio unge mripoti kwa Sirro??mambo ya kitoto hayo hapa ni mjini mzee baba takecare kuna baadhi ya mambo usipende kuyafuatilia kwa watu utajikuta mtaroni.
 
Bongo nyoso kama vipi nawewe kafanye hiyo haramu
 
Back
Top Bottom