APEFACE
JF-Expert Member
- Oct 1, 2016
- 5,782
- 11,020
Hata awe mshikaji, kikubwa mi siji-attach nae kwa namna yeyote, anunue, ninunue pombe tunywe stori inaishia hapoHata kama akiwa mshikaji wako??
Hata awe mshikaji, kikubwa mi siji-attach nae kwa namna yeyote, anunue, ninunue pombe tunywe stori inaishia hapoHata kama akiwa mshikaji wako??
Umejuaje
umeongea jambo zuri litakusaidia likitokea lolote wanadili na wewe jinsi polisi wetu walivofundishwa mwaka 1935 kabla ya kumpata.
Kuna kisa kimoja jamaa alikuwa anapenda kula bata na washikaji zake kumbe kazi wanazofanya ajui basi siku polisi wanawatafuta wakadakwa naye.walikuwa watu wabunduki uzuri wale majaa waka mkataa sio wao na wala hausiki ndio ponea ponea yake ila walimtengua kiuno.
Excuse him if his drink right now is your rent.Naomba niende straight kwenye point, kuna mshikaji wangu age ya miaka 23 hivi, tokea nifahamiane nae ni kama mwaka hivi. Toka tufahamiane tumekuwa na bond sana kwenye clubs au sehemu za bata ndogo ndogo huwa tunaenda ila mara nyingi huwa ninagharamia bills kwa maana yeye huwa kazi hana alikuwa anafanya kazi katika company moja hivi bahati mbaya ikafungwa so akawa hana mishe.
Sasa cha kushangaza siku hizi mwana naona anapiga picha yupo hoteli nzito nzito akiwa na taulo anakula maisha pembeni yupo na vinywaji, mimi najua hana mishe za kumpeleka huko, ukimuuliza anakuambia kawaida tu, sasa juzi naona anamiliki macho matatu, nikashtuka mtu alikuwa anatumia tecno leo ana simu ya milioni mbili na ,nimeshangaa sana.
Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana, Isije ikatokea ya kutokea na mimi nikawa involved
Kota moja.....Akiona unamfatilia sana atakuambia Kuna jimama linamtunza lakini ukijiongeza kidogo utagundua kuna watu wa DAWASCO wanachimbua mtaro. Akili mukichwa.
Hii ya kusema eti majimama yanatoa hela aisee wanawake no mabahili sana very few huwa wanahonga kwa ajili ya kuliwa.
Hawa vijana wasikudanganye huyo utakuja kusikia tu hawezi kukaa straight lazima akalie Kota moja![]()

hii nimeipendaUsijekuta ameamua kuwa bwabwa la watalii wazungu huko mahotelini!!!Naomba niende straight kwenye point, kuna mshikaji wangu age ya miaka 23 hivi, tokea nifahamiane nae ni kama mwaka hivi. Toka tufahamiane tumekuwa na bond sana kwenye clubs au sehemu za bata ndogo ndogo huwa tunaenda ila mara nyingi huwa ninagharamia bills kwa maana yeye huwa kazi hana alikuwa anafanya kazi katika company moja hivi bahati mbaya ikafungwa so akawa hana mishe.
Sasa cha kushangaza siku hizi mwana naona anapiga picha yupo hoteli nzito nzito akiwa na taulo anakula maisha pembeni yupo na vinywaji, mimi najua hana mishe za kumpeleka huko, ukimuuliza anakuambia kawaida tu, sasa juzi naona anamiliki macho matatu, nikashtuka mtu alikuwa anatumia tecno leo ana simu ya milioni mbili na ,nimeshangaa sana.
Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana, Isije ikatokea ya kutokea na mimi nikawa involved
Kwan huyo mwarabu aijui pornhub?Hajamla, ni Mwanangu hawezi nificha huyo boss anaishi hizi nyumba za GSM zipo pale round about ya Whitesands. Jambo lingine alimuuliza kama anaeza pata demu alafu aende nae kwenye apartment amchakate mbususu yeye akiwa anaangilia. Anasema anakuwa na Furaha akiona mwanaume anachakata mbususu mbele yake.
Kuna mwana tulikuwa naye mitaa ya kigogo Luhanga...Naomba niende straight kwenye point, kuna mshikaji wangu age ya miaka 23 hivi, tokea nifahamiane nae ni kama mwaka hivi. Toka tufahamiane tumekuwa na bond sana kwenye clubs au sehemu za bata ndogo ndogo huwa tunaenda ila mara nyingi huwa ninagharamia bills kwa maana yeye huwa kazi hana alikuwa anafanya kazi katika company moja hivi bahati mbaya ikafungwa so akawa hana mishe.
Sasa cha kushangaza siku hizi mwana naona anapiga picha yupo hoteli nzito nzito akiwa na taulo anakula maisha pembeni yupo na vinywaji, mimi najua hana mishe za kumpeleka huko, ukimuuliza anakuambia kawaida tu, sasa juzi naona anamiliki macho matatu, nikashtuka mtu alikuwa anatumia tecno leo ana simu ya milioni mbili na ,nimeshangaa sana.
Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana, Isije ikatokea ya kutokea na mimi nikawa involved
To much details...Hajamla, ni Mwanangu hawezi nificha huyo boss anaishi hizi nyumba za GSM zipo pale round about ya Whitesands. Jambo lingine alimuuliza kama anaeza pata demu alafu aende nae kwenye apartment amchakate mbususu yeye akiwa anaangilia. Anasema anakuwa na Furaha akiona mwanaume anachakata mbususu mbele yake.
Acha umama ww!!kwahyo unataka aendelee kuwa maskin tu ili uwe unamlipia hizo bills?? Ukiendelea kuwa na tabia hizi utakua mchawiNaomba niende straight kwenye point, kuna mshikaji wangu age ya miaka 23 hivi, tokea nifahamiane nae ni kama mwaka hivi. Toka tufahamiane tumekuwa na bond sana kwenye clubs au sehemu za bata ndogo ndogo huwa tunaenda ila mara nyingi huwa ninagharamia bills kwa maana yeye huwa kazi hana alikuwa anafanya kazi katika company moja hivi bahati mbaya ikafungwa so akawa hana mishe.
Sasa cha kushangaza siku hizi mwana naona anapiga picha yupo hoteli nzito nzito akiwa na taulo anakula maisha pembeni yupo na vinywaji, mimi najua hana mishe za kumpeleka huko, ukimuuliza anakuambia kawaida tu, sasa juzi naona anamiliki macho matatu, nikashtuka mtu alikuwa anatumia tecno leo ana simu ya milioni mbili na ,nimeshangaa sana.
Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana, Isije ikatokea ya kutokea na mimi nikawa involved
Acha umama ww!!kwahyo unataka aendelee kuwa maskin tu ili uwe unamlipia hizo bills?? Ukiendelea kuwa na tabia hizi utakua mchawi
Hii kama kuna Mama mmoja nae nilikua nafahamiana nae, hali yake ilikua si nzuri kiuchumi.... hadi Kodi wakati mwingine kwake ilikua changamoto, mara ghafla mambo yakabadilika..... kanichosha zaidi kuna siku aliniuliza HIVI NI WAPI NAWEZA KUPATA RAMANI YA GHOROFA 3 nikaona kweli sio poa maisha, huyu aliyekua hata Kodi ya Chumba chake kinamshinda leo hii anaulizia RAMANI YA GHOROFA 3 AJENGE!!!!!! Ila kikubwa kila Mtu na maisha yake nikaamua nipite kivyangu