Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

Ninahisi mwana anafanya shughuli haramu

Keshakula huyo... Ushawishi una nguvu sana.
Hajamla, ni Mwanangu hawezi nificha huyo boss anaishi hizi nyumba za GSM zipo pale round about ya Whitesands. Jambo lingine alimuuliza kama anaeza pata demu alafu aende nae kwenye apartment amchakate mbususu yeye akiwa anaangilia. Anasema anakuwa na Furaha akiona mwanaume anachakata mbususu mbele yake.
 
Aisee!! Hali ni mbaya sana. Kuweni makini hao jamaa wana Wivu wa Kingese sana.
 
Naomba niende straight kwenye point, kuna mshikaji wangu age ya miaka 23 hivi, tokea nifahamiane nae ni kama mwaka hivi. Toka tufahamiane tumekuwa na bond sana kwenye clubs au sehemu za bata ndogo ndogo huwa tunaenda ila mara nyingi huwa ninagharamia bills kwa maana yeye huwa kazi hana alikuwa anafanya kazi katika company moja hivi bahati mbaya ikafungwa so akawa hana mishe.

Sasa cha kushangaza siku hizi mwana naona anapiga picha yupo hoteli nzito nzito akiwa na taulo anakula maisha pembeni yupo na vinywaji, mimi najua hana mishe za kumpeleka huko, ukimuuliza anakuambia kawaida tu, sasa juzi naona anamiliki macho matatu, nikashtuka mtu alikuwa anatumia tecno leo ana simu ya milioni mbili na ,nimeshangaa sana.

Nataka nianze kujitenga nae inawezekana anafanya shughuli haramu hasa huko kwenye mahoteli sometimes yupo Zanzibar yaaani sehemu za bata bata tu halafu kazi hana, Isije ikatokea ya kutokea na mimi nikawa involved
Angalia itakuwa anatafunwa kama wasanii wetu wengi nasikia wanatafunwa ndo wanapata hela ya kumiliki magari ya kifahali na show off
 
Kuna jamaa anaitwa X alienda kampuni maarufu ya kuuza mafuta kuomba kazi, alipofika pale head of HR ni Muarabu akamwambia mwana yupo tayari kumpa apartment Masaki na kumnunulia Forester ila anataka awe anamkaza. Yaani Boss ni Choko na analiwa kisamvu. Mwana kanionesha mpaka text zake. Na toka siku hiyo anatumiwa pesa yoyote ila bado anawaza kufanya tukio hili. So usije kuta na huyo jamaa ako kuna mzee anampinda.
Kuna mdau humu kampiga pira afande wa kiume
 
Mjini kuna watu wanapitia mengi ili mradi wafanye show off za insta.
Muombee kheri tu maana sometimes nyuma ya hizo bata anazokula kama hana uwezo wa kuzigharamia bhasi kuna risks na maumivu mengi 🙏
 
Hii habari ingeambatqna na picha inge noga sana ili tujue ni wivu wako au kuna kaukweli haya tunayo hisi
 
inaonekana unavijitabia vya ajabu vya kufukunyua maisha ya watu,kwa nn anavaa vizuri,kwa nn kqnunua gari jipya, n.k.wanaume ma fighters hawanaga shobo Kama hizo. pesa sio kitu kigumu kukimiliki ,so usione ajabu ,hata wewe unaweza kuwa zaidi na huyo mahikqji wako. acha wivu,na kudasisi maisha ya watu,just mind ur own business.
 
Nimefatilia comments za watu kuhusu Historia yako huko nyuma...Kwani kama umeamua kujitenga na Huyo mwana mpaka na sisi tujue!..Ila mradi Mwana ameamua kutumia tundu yake kwa faida.
 
inaonekana unavijitabia vya ajabu vya kufukunyua maisha ya watu,kwa nn anavaa vizuri,kwa nn kqnunua gari jipya, n.k.wanaume ma fighters hawanaga shobo Kama hizo. pesa sio kitu kigumu kukimiliki ,so usione ajabu ,hata wewe unaweza kuwa zaidi na huyo mahikqji wako. acha wivu,na kudasisi maisha ya watu,just mind ur own business.

Shida ni kwamba kama anafanya harakati haramu,huoni kwamba namimi possibility ya kuwa involved ipo kutokana na mazoea
 
Back
Top Bottom