Ninahisi kama mbio za urais 2030 zimeanza mapema sana

MamaSamia2025

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2012
Posts
19,295
Reaction score
39,977
Wakuu naona mbio za kuutaka urais zinashika kasi... makada wa chama pendwa ambao pia ni viongozi maarufu serikalini wako kasi sana kuji-brand.

Binafsi ninaona siojambo baya ila mara nyingi watu kama hawa hupatwa na AJALI ZA KISIASA au chama pendwa kubadili gia angani kwenye kuteua mgombea. Naona huyu boss kubwa kutoka kanda ya kati anatumia nguvu kubwa ila matokeo bado ni hafifu inabidi akaze sana.

Huyu wa ziwani ambaye kwa sasa anawakilisha kaskazini naturally ni mtu anayeweza kuteka hisia za wapiga kura. Ana hicho kipaji. Akicheza karata zake vizuri atasumbua. Ninadhani tusubiri wengine wajitokeze zaidi kama ilivyokuwa 2015.
 
Ni hisia zako tuu, hakuna mbio zozote kuelekea 2030 kwasababu rais wa 2030 tayari tunaye na utaratibu wa 2030 ni ule ule kama wa 2025.

Hizo pilika pilika na kukurukakara ni watu kujifurahisha tuu na kujifariji kuwa na wao ni presidential material, lakini mwenyewe wa 2030 tayari yupo.

P
 
Machawa taratibu akili zinawaingia.
 
Ni hisia zako tuu, hakuna mbio zozote kuelekea 2030 kwasababu rais wa 2030 tayari tunaye na utaratibu wa 2030 ni ule ule kama wa 2025.

Hizo pilika pilika na kukurukakara ni watu kujifurahisha tuu na kujifariji kuwa na wao ni presidential material, lakini mwenyewe wa 2030 tayari yupo.

P
P.
TUNAJUA KUWA RAIS WA 2030 TUNAYE, HATA UKISEMA WA 2060, NAYE PIA TUNAJUA KUWA TUNAYE. FAFANUA ZAIDI ILI TUWEZE KUKUELEWA
 
Ni hisia zako tuu, hakuna mbio zozote kuelekea 2030 kwasababu rais wa 2030 tayari tunaye na utaratibu wa 2030 ni ule ule kama wa 2025.

Hizo pilika pilika na kukurukakara ni watu kujifurahisha tuu na kujifariji kuwa na wao ni presidential material, lakini mwenyewe wa 2030 tayari yupo.

P
Mkuu wewe kukupinga ni ngumu maana ndo ulisema Magu ni rais ajaye mwaka mmoja kabla. Tafadhali tutajie huyo wa 2030
 
Ni hisia zako tuu, hakuna mbio zozote kuelekea 2030 kwasababu rais wa 2030 tayari tunaye na utaratibu wa 2030 ni ule ule kama wa 2025.

Hizo pilika pilika na kukurukakara ni watu kujifurahisha tuu na kujifariji kuwa na wao ni presidential material, lakini mwenyewe wa 2030 tayari yupo.

P
uko sahihi 100% mwalimu Paskali.
 
Inasemaka raisi akiwa mkiristo lazima awe mkatoliki nataka niprove hilo Kwa raisi ajaye ni kweli au wanawasingizia tu TEC kuwa huwa wanacheza michezo michafu
 
Back
Top Bottom