Ninadaiwa Tala, Branch na M-pawa. Nisipowalipa watanifanya nini?

Mimi Branch ndo wananitesa, sms za vitisho hatariiii fire

Nataka nimuuzie Pierre Liquid kesi watasikia tu

"Aaaah Branch, Branch ikidhurumiwa itabaki kuwa juu, juu mawinguni, itabaki kileleni, chiiiiiiiii"View attachment 1065947
Hahahhaha kumbe ndio inavyokuaga vitisho hivi

Mm nikikwama kiukweli tala na tigo nivushe wananisaidia sana na huwa nawalipa kwa wakati

Mkuu dawa ya deni kulipa jitahidi ukipata uwape
 
wasikutishe! mi nlikopa buku ishirini wakanipa vitisho vyao vya kiboya eti kama nipo ndani nitoke nje kuna difenda wameiagiza ije inikamate aisee, nlitoka sikukuta kitu. nikablock namba yao na app nikafuta tangu mwaka jana hadi leo wamekausha
 
Duuuuh kazi kweli kweli
Yani imebidi nicheke tu
Sasa ina maana nyie wadaiwa wote hamna mpango wa kulipa ama nini?
Hayo makampuni kazi wanayo
 
Wacha wakutangaze..watKua wanakupiga kiki...mjini hapa..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tumia app mpya isiyo na riba inaitwa tara
link yake hii hapa kwa wale wa playstore
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mkopo.tara
 
Dawa ya deni kulipa Ngosha, lima manumbu mamchele ya kutosha lipa deni, utafungwa wewe

Ila Branch nao sio kwa vitisho vile aisee, na hivyo vifungu sijui wanavitoa wapi?

Hara na wewe Ngosha 11,880 mpaka usumbuane nao kweli au hutaki kulipa?
 
Hakuna kitu hapo. Hivyo ni vitisho tu na hakuna chochote kike watakacho fanya. Lakini kwanini hutaki kulipa deni unalo daiwa.???

MGC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…