Ninachompendea Dr.Slaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ninachompendea Dr.Slaa.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mmaroroi, Oct 29, 2010.

 1. m

  mmaroroi JF-Expert Member

  #1
  Oct 29, 2010
  Joined: May 8, 2008
  Messages: 2,536
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  1. Ni mwadilifu-maisha yake ni ya kawaida.
  2. Hana tuhuma za mali isiyoelezeka.
  3. Hajawahi kutumika/kurubuniwa na Serikali.
  4. Ni mtu jasiri.
  5. Amesaidia kufichua mchwa wa uchumi wa TZ.
  6. Kwa miaka 15 ya Ubunge amedhihirisha uwezo wake kiuongozi.
  NA WEWE NI KAMA MIMI?
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Oct 29, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  pamoja sana,sijui kama watanzania tutaendeleza usemi kua nabii hakubaliki nyumbani au tuta ubadili mwaka huu
   
 3. kvelia

  kvelia JF-Expert Member

  #3
  Oct 29, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 247
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  tuko pamoja sana mkuu
   
 4. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #4
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Yes...!
  pamoja...!
  yes we can...!
  vote for dr slaa...!
  vote for a new tanzania...!
  chagua mtu makini, epuka mafisadi...!
  pamoja daima, tutafika, kulikomba taifa letu...!
   
 5. W

  We can JF-Expert Member

  #5
  Oct 29, 2010
  Joined: Sep 4, 2010
  Messages: 681
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Thank you for the information
   
 6. Mantissa

  Mantissa JF-Expert Member

  #6
  Oct 29, 2010
  Joined: Jul 24, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  Tuko pamoja mkuu, hebu tujitokeze kupiga kura jpili tumtoe huyu nduli
   
 7. Ndallo

  Ndallo JF-Expert Member

  #7
  Oct 29, 2010
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 7,134
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Hata mimi naunga mkono hii hoja!
   
Loading...