Hili nalo linataka ushauri jamani......
Sijui kwanini mods wanachelewa kuweka jukwaa la watoto......!!!!
imeshawahi nitokea nili search youtube..nikagoogle pia and nlipata solution...hadi leo naivaa...Jamn wana jamii wenzangu ,naomba niulize,mnisaidie pia ushaur,nina nguo yangu naipenda sana,sasa juz kat nmeifua ,nkachanganya na nguo inayochuja,imechujia rangi haitamaniki,sasa kama kuna mtu anajua ,au aliwai kutana na hadha hii anisaidie
Hahahahaha..!!Hili nalo linataka ushauri jamani......
Sijui kwanini mods wanachelewa kuweka jukwaa la watoto......!!!!
lolLol.....Hiyo nguo tumia kudekia au kufutia gari. kama ni chupi we vaa tu kwani nani anaona.

Jukwaa la cheichei shangazi..
Kwenye picha ni wewe?Thanks dear ngoja nifanye ivyo
hyo siwezi kujua ingekuwa nyeupe ningekuambia dawaN maroon ya lesles