Pm nikusaidieJamn wana jamii wenzangu ,naomba niulize,mnisaidie pia ushaur,nina nguo yangu naipenda sana,sasa juz kat nmeifua ,nkachanganya na nguo inayochuja,imechujia rangi haitamaniki,sasa kama kuna mtu anajua ,au aliwai kutana na hadha hii anisaidie
Kweli jukwaa la watoto linahitajika. Kuna muda nashindwa kuchangia mada nyingine naona kama ni za kitoto sana, lakini najishtukia nasema labda mimi nimezeeka sana sipaswi kuwepo humu.Hili nalo linataka ushauri jamani......
Sijui kwanini mods wanachelewa kuweka jukwaa la watoto......!!!!
Mbona unaguna tena jamani!!! ngoja nikupe mji uniambie kama ni au lah!!!Mhhhhh