Ninachokiona, watu wengi wanachukulia mapenzi seriously

usipolala kwa muda mrefu unaweza kufa, lakini huwezi kufa kwasababu ya kutopenda au kutokua na mpenzi
Ni kweli je unajua kwanini kuna matukio ya wanaume mara Kabaka mtoto mdogo mara amelawiti maana yake amekosa pa kupata utulivu akili inamhama
Mkuu uko out of context, sijazungumzia upwiru, watu hawapendi na wanapata ngono, wananunua au kuwa na watu wasio wapenda. Ninachozungumzia ni ma lovey dovey dov

Mkuu uko out of context, sijazungumzia upwiru, watu hawapendi na wanapata ngono, wananunua au kuwa na watu wasio wapenda. Ninachozungumzia ni ma lovey dovey dovey
Ok , sawa lakini naongezea outcomes za context yako . Hiyo ya wafu kununua au kuwa na mahusiano yasiyo na toka hatuwezi kujenga jamii yenye nidhamu hata siku moja tutaongeza tu matatizo na street children
 
Mfano wako hauna mantiki
Usifananishe usingizi na mapenzi
Usingizi hauna plan b ukiacha kusinzia kwa siku kadhaa unaweza hata kufa lakini mapenzi yana plan b unaweza usiwe na mpenzi kabisa ukawa unanunua malaya au kupiga nyeto na maisha yakaenda
Lakini pia hata usipofanya mapenzi kwa muda mrefu huwezi kufa
Una mantiki ukifikiria vizuri unaonaje kama ndo dada au ndugu yako wa kike anakodiwa akatumikishwe hivyo unavyowaza?
 
Wasalaam

Katika harakati za maisha nimejikuta nikienda sehemu nyingi na kukutana na watu wengi sana. Sehemu kubwa ya watu ninaokutana nao wana matatizo makubwa ya ki-mahusiano; wanaume kwa wanawake.

Hadithi ni nyingi sana, na heka heka ni nyingi sana pia. Kimsingi, watu wamevurugwa, wanachukulia mapenzi seriously. Kila kukicha ni visa na mikasa tu, mara huku fumanizi, mara kule mauji kama siyo kunywa sumu. Mapenzi yana wasumbua sana watu, yanapoteza sehemu kubwa ya uwezo wa binadamu wa kufikiri sahihi na kuchakata namna sahihi ya kusongesha maisha.

Ngoswe (penzi kitovu cha uzembe) ni riwaya yangu ya kwanza kunifikirisha hatari ya mapenzi kama hauna uwezo wa kujiratibu. Kimsingi, mapenzi siyo kwa kila mtu, ni kwa wale wenye ukomavu wa akili tu. Tafiti za mchongo zinaonesha, watu wengi makini walikwisha achana na mambo ya mapenzi wako busy ku-pursue ndoto zao.

Leo nataka nichochee tafakari yako juu ya mambo yafuatayo:

Kwanini una penda? je kuna ulazima wa kufanya hivyo?

Ukiachilia wadangaji na marioo, mapenzi yana faida gani kiuchumi?

sipokua kwa habari ya nyege, je kuna ulazima wa kumfuga mtu (mke au mume) na kushi nae?

Kwani huyo mpenzi wako anayekuchetua, ulizaliwa nae au utakufa nae?

je unajua huyo mpenzi wako alikua ni mpenzi wa mtu mwingine na aliachwa?

Unapaswa kujua pia, kama alikupenda wewe, nafasi iko akampenda mtu mwingine mwenye quality za juu zaidi yako;

Twendeni taratibu, msichukulie mapenzi seriously, fanya unachoweza kufanya, kila mtu ana objectives zake kwenye mahusiano, timiza zako angalia ustaarabu wako.

Nawasilisha.
mapenzi ni takwa la asili ndo maana kama ni binadamu uliyekamilika huwezi likwepa labda uwe na upungufu wa nguvu za kiume/kike
Tuachane kujifariji kwa mambo yasikua na msingi
 
T
Wasalaam

Katika harakati za maisha nimejikuta nikienda sehemu nyingi na kukutana na watu wengi sana. Sehemu kubwa ya watu ninaokutana nao wana matatizo makubwa ya ki-mahusiano; wanaume kwa wanawake.

Hadithi ni nyingi sana, na heka heka ni nyingi sana pia. Kimsingi, watu wamevurugwa, wanachukulia mapenzi seriously. Kila kukicha ni visa na mikasa tu, mara huku fumanizi, mara kule mauji kama siyo kunywa sumu. Mapenzi yana wasumbua sana watu, yanapoteza sehemu kubwa ya uwezo wa binadamu wa kufikiri sahihi na kuchakata namna sahihi ya kusongesha maisha.

Ngoswe (penzi kitovu cha uzembe) ni riwaya yangu ya kwanza kunifikirisha hatari ya mapenzi kama hauna uwezo wa kujiratibu. Kimsingi, mapenzi siyo kwa kila mtu, ni kwa wale wenye ukomavu wa akili tu. Tafiti za mchongo zinaonesha, watu wengi makini walikwisha achana na mambo ya mapenzi wako busy ku-pursue ndoto zao.

Leo nataka nichochee tafakari yako juu ya mambo yafuatayo:

Kwanini una penda? je kuna ulazima wa kufanya hivyo?

Ukiachilia wadangaji na marioo, mapenzi yana faida gani kiuchumi?

sipokua kwa habari ya nyege, je kuna ulazima wa kumfuga mtu (mke au mume) na kushi nae?

Kwani huyo mpenzi wako anayekuchetua, ulizaliwa nae au utakufa nae?

je unajua huyo mpenzi wako alikua ni mpenzi wa mtu mwingine na aliachwa?

Unapaswa kujua pia, kama alikupenda wewe, nafasi iko akampenda mtu mwingine mwenye quality za juu zaidi yako;

Twendeni taratibu, msichukulie mapenzi seriously, fanya unachoweza kufanya, kila mtu ana objectives zake kwenye mahusiano, timiza zako angalia ustaarabu wako.

Nawasilisha.
Tuache ni sisi tusipangianeee
Acha tuwe serious mpaka tufee sawaa eeeh
 
Back
Top Bottom