Ninachokiona, watu wengi wanachukulia mapenzi seriously

Ni kweli je unajua kwanini kuna matukio ya wanaume mara Kabaka mtoto mdogo mara amelawiti maana yake amekosa pa kupata utulivu akili inamhama
Mkuu uko out of context, sijazungumzia upwiru, watu hawapendi na wanapata ngono, wananunua au kuwa na watu wasio wapenda. Ninachozungumzia ni ma lovey dovey dovey
 
"The human brain is an outstanding organ, it works 24 hours a day and 365 days yearly from the moment you are born until you FALL IN LOVE."
Captain Jack sparrow...
The captain himself, very good movie
 
Wasalaam

Katika harakati za maisha nimejikuta nikienda sehemu nyingi na kukutana na watu wengi sana. Sehemu kubwa ya watu ninaokutana nao wana matatizo makubwa ya ki-mahusiano; wanaume kwa wanawake.

Hadithi ni nyingi sana, na heka heka ni nyingi sana pia. Kimsingi, watu wamevurugwa, wanachukulia mapenzi seriously. Kila kukicha ni visa na mikasa tu, mara huku fumanizi, mara kule mauji kama siyo kunywa sumu. Mapenzi yana wasumbua sana watu, yanapoteza sehemu kubwa ya uwezo wa binadamu wa kufikiri sahihi na kuchakata namna sahihi ya kusongesha maisha.

Ngoswe (penzi kitovu cha uzembe) ni riwaya yangu ya kwanza kunifikirisha hatari ya mapenzi kama hauna uwezo wa kujiratibu. Kimsingi, mapenzi siyo kwa kila mtu, ni kwa wale wenye ukomavu wa akili tu. Tafiti za mchongo zinaonesha, watu wengi makini walikwisha achana na mambo ya mapenzi wako busy ku-pursue ndoto zao.

Leo nataka nichochee tafakari yako juu ya mambo yafuatayo:

Kwanini una penda? je kuna ulazima wa kufanya hivyo?

Ukiachilia wadangaji na marioo, mapenzi yana faida gani kiuchumi?

sipokua kwa habari ya nyege, je kuna ulazima wa kumfuga mtu (mke au mume) na kushi nae?

Kwani huyo mpenzi wako anayekuchetua, ulizaliwa nae au utakufa nae?

je unajua huyo mpenzi wako alikua ni mpenzi wa mtu mwingine na aliachwa?

Unapaswa kujua pia, kama alikupenda wewe, nafasi iko akampenda mtu mwingine mwenye quality za juu zaidi yako;

Twendeni taratibu, msichukulie mapenzi seriously, fanya unachoweza kufanya, kila mtu ana objectives zake kwenye mahusiano, timiza zako angalia ustaarabu wako.

Nawasilisha.
Haka ka uzi mtu akikasoma wima tu akiwa kwenye folini za mataa hawezi kuelewa kitu ila ukikaa kwa utulivu ukarudia kusoma utagundua kuna point kubwa sana jamaa kaongea japo hakujazia nyama mwishoni
 
ulichowasilisha ni kipimo tosha cha ubinafsi hakuna vision ndani yako ambayo ni endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho,ndoa ni taasisi muhimu sana si tu kwa maslahi binafsi bali kwa ulimwengu wote kwa ujumla.
~mfano mzuri ni malezi na makuzi ya mtoto hapa wengi wanajifanya hata vichaa kuvumilia mengi yapite kwa ajili ya mtoto apate malezi ya pande zote mbili,ni ukweli mchungu kwamba malezi yasiohusisha wazazi wote yana changamoto lukuki.
*Breaking to a personal laws result to a public chaos-Dr.myles munroe.
 
"The human brain is an outstanding organ, it works 24 hours a day and 365 days yearly from the moment you are born until you FALL IN LOVE."
Captain Jack sparrow...
Ajabu hata yeye jack aliingia mgogoro na ile pisi yake hadi wakapelekana mahakamani.
 
Wasalaam

Katika harakati za maisha nimejikuta nikienda sehemu nyingi na kukutana na watu wengi sana. Sehemu kubwa ya watu ninaokutana nao wana matatizo makubwa ya ki-mahusiano; wanaume kwa wanawake.

Hadithi ni nyingi sana, na heka heka ni nyingi sana pia. Kimsingi, watu wamevurugwa, wanachukulia mapenzi seriously. Kila kukicha ni visa na mikasa tu, mara huku fumanizi, mara kule mauji kama siyo kunywa sumu. Mapenzi yana wasumbua sana watu, yanapoteza sehemu kubwa ya uwezo wa binadamu wa kufikiri sahihi na kuchakata namna sahihi ya kusongesha maisha.

Ngoswe (penzi kitovu cha uzembe) ni riwaya yangu ya kwanza kunifikirisha hatari ya mapenzi kama hauna uwezo wa kujiratibu. Kimsingi, mapenzi siyo kwa kila mtu, ni kwa wale wenye ukomavu wa akili tu. Tafiti za mchongo zinaonesha, watu wengi makini walikwisha achana na mambo ya mapenzi wako busy ku-pursue ndoto zao.

Leo nataka nichochee tafakari yako juu ya mambo yafuatayo:

Kwanini una penda? je kuna ulazima wa kufanya hivyo?

Ukiachilia wadangaji na marioo, mapenzi yana faida gani kiuchumi?

sipokua kwa habari ya nyege, je kuna ulazima wa kumfuga mtu (mke au mume) na kushi nae?

Kwani huyo mpenzi wako anayekuchetua, ulizaliwa nae au utakufa nae?

je unajua huyo mpenzi wako alikua ni mpenzi wa mtu mwingine na aliachwa?

Unapaswa kujua pia, kama alikupenda wewe, nafasi iko akampenda mtu mwingine mwenye quality za juu zaidi yako;

Twendeni taratibu, msichukulie mapenzi seriously, fanya unachoweza kufanya, kila mtu ana objectives zake kwenye mahusiano, timiza zako angalia ustaarabu wako.

Nawasilisha.
Naunga mkono hoja, mapenzi hayafai Kuwa gereza kwa yeyote, sababu za kulindana, kupotezeana muda kwa kufuatiliana,kuchukiana na,kuumizana au hata kusumbuana,huo ni ushamba😂.umezaliwa peke yako ikiwa bahati na pacha wako😂.Hivyo tupeane nafasi uhuru,amani,heshima na kusaidiana bila nongwa wala vijino pembe,🤸🤸🤸🤸
 
Haka ka uzi mtu akikasoma wima tu akiwa kwenye folini za mataa hawezi kuelewa kitu ila ukikaa kwa utulivu ukarudia kusoma utagundua kuna point kubwa sana jamaa kaongea japo hakujazia nyama mwishoni
Jazia nyama mkuu, nashukuru kwa kuelewa
 
Mkuu kuna kipengele umeuliza /umesema mapenzi yana faida gani kiuchumi je usingizi una faida gani kiuchumi?

Kuna vitu ni human nature unakataa kuoa unaenda kubaka mbuzi si udhalili huu , human nature tumeumbwa kupenda jinsia tofauti na kupewa hisia
Mfano wako hauna mantiki
Usifananishe usingizi na mapenzi
Usingizi hauna plan b ukiacha kusinzia kwa siku kadhaa unaweza hata kufa lakini mapenzi yana plan b unaweza usiwe na mpenzi kabisa ukawa unanunua malaya au kupiga nyeto na maisha yakaenda
Lakini pia hata usipofanya mapenzi kwa muda mrefu huwezi kufa
 
ulichowasilisha ni kipimo tosha cha ubinafsi hakuna vision ndani yako ambayo ni endelevu kwa kizazi cha sasa na kijacho,ndoa ni taasisi muhimu sana si tu kwa maslahi binafsi bali kwa ulimwengu wote kwa ujumla.
~mfano mzuri ni malezi na makuzi ya mtoto hapa wengi wanajifanya hata vichaa kuvumilia mengi yapite kwa ajili ya mtoto apate malezi ya pande zote mbili,ni ukweli mchungu kwamba malezi yasiohusisha wazazi wote yana changamoto lukuki.
*Breaking to a personal laws result to a public chaos-Dr.myles munroe.
kuwa mbinafsi ni mawazo yako, lakini ata wazee wetu walitembea na mawazo yangu, hauhitaji kupenda ili uoe, ndiyo maana kulikua na arranged marriages. Issue ni convenience
 
Naunga mkono hoja, mapenzi hayafai Kuwa gereza kwa yeyote, sababu za kulindana, kupotezeana muda kwa kufuatiliana,kuchukiana na,kuumizana au hata kusumbuana,huo ni ushamba😂.umezaliwa peke yako ikiwa bahati na pacha wako😂.Hivyo tupeane nafasi uhuru,amani,heshima na kusaidiana bila nongwa wala vijino pembe,🤸🤸🤸🤸
i second
 
Back
Top Bottom