Ninachokiona, watu wengi wanachukulia mapenzi seriously

Ninachokiona, watu wengi wanachukulia mapenzi seriously

MAPENZI... wacha kabisa... NELSON aliwasamehe MAKABURU walomfunga Jela 30 yrs akashindwa kumsamehe WINNIE...
Na muheshimu sana Hayati Nelson Mandela, natambua uwezo wake mkubwa wa akili na mchango wake mkubwa katika humanity, lakin mapenzi ni nyoko. Kwa urahisi wa rejea soma hadithi Samson na Delilah
 
Kuoa siyo ushuhuda wa mapenzi. Zamani watu walikua wanaozeshwa arranged marriages na wengine walikua wana rithi kilazima wake wa watu au ndugu zao wanapokufa
unafanya maamuzi ya kuishi na mtu maisha yako yote, na mahusiano yenu huchukulii kwa uzito??

hii chai ntainywa kwa tabu sana
 
Back
Top Bottom