sweet poison
Senior Member
- Aug 16, 2013
- 104
- 15
Mara nyingi watanzania hususani waislam tumekuwa ktk mkanganyiko mkubwa kwamba BAKWATA ni ya waislam,serikali au???????.nimekuwa nikimsikiliza mtu mmoja hapa ktk mikutano yake nanukuu"Bakwata ni tawi la Kanisa,"baada ya kusoma rejea mbalimbali kufahamu historia ya Bakwata nikagundua kuwa mwaka 1968 ndio ulikuwa mwanzo wa Bakwata.Bakwata iliundwa na mwalimu Nyerere baada ya kuivunja EAMWS ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni taasisi iliyokuwa imepiga hatua kubwa ktk uchumi,siasa na elimu Afr.mashariki.kwanini Nyerere aliivunja EAMWS?ni swali tuulizane mm na ww,alikuwa kama nani ktk taasisi za dini? nalo tuulizane.kiufupi Bakwata imekuwa ikipingana sana na waislamu waliowengi hapa nchini ktk mambo mengi yahusuyo dini kibaya zaidi inapingana hata na taasisi zingine za kiislam.nawaulizeni wadau BAKWATA NI ya nani?
Sijui sana kuhusu bakwata........lakini kitendo cha kusema eid ni j5 wakati wengine wanaswali j4........sio vizuri.......
ni jumuiya mojawapo ya CCM,huku kikiwa ni kitengo muhimu cha TISSMara nyingi watanzania hususani waislam tumekuwa ktk mkanganyiko mkubwa kwamba BAKWATA ni ya waislam,serikali au???????.nimekuwa nikimsikiliza mtu mmoja hapa ktk mikutano yake nanukuu"Bakwata ni tawi la Kanisa,"baada ya kusoma rejea mbalimbali kufahamu historia ya Bakwata nikagundua kuwa mwaka 1968 ndio ulikuwa mwanzo wa Bakwata.Bakwata iliundwa na mwalimu Nyerere baada ya kuivunja EAMWS ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni taasisi iliyokuwa imepiga hatua kubwa ktk uchumi,siasa na elimu Afr.mashariki.kwanini Nyerere aliivunja EAMWS?ni swali tuulizane mm na ww,alikuwa kama nani ktk taasisi za dini? nalo tuulizane.kiufupi Bakwata imekuwa ikipingana sana na waislamu waliowengi hapa nchini ktk mambo mengi yahusuyo dini kibaya zaidi inapingana hata na taasisi zingine za kiislam.nawaulizeni wadau BAKWATA NI ya nani?
Sijui sana kuhusu bakwata........lakini kitendo cha kusema eid ni j5 wakati wengine wanaswali j4........sio vizuri.......
Mara nyingi watanzania hususani waislam tumekuwa ktk mkanganyiko mkubwa kwamba BAKWATA ni ya waislam,serikali au???????.nimekuwa nikimsikiliza mtu mmoja hapa ktk mikutano yake nanukuu"Bakwata ni tawi la Kanisa,"baada ya kusoma rejea mbalimbali kufahamu historia ya Bakwata nikagundua kuwa mwaka 1968 ndio ulikuwa mwanzo wa Bakwata.Bakwata iliundwa na mwalimu Nyerere baada ya kuivunja EAMWS ambayo kwa kiasi kikubwa ilikuwa ni taasisi iliyokuwa imepiga hatua kubwa ktk uchumi,siasa na elimu Afr.mashariki.kwanini Nyerere aliivunja EAMWS?ni swali tuulizane mm na ww,alikuwa kama nani ktk taasisi za dini? nalo tuulizane.kiufupi Bakwata imekuwa ikipingana sana na waislamu waliowengi hapa nchini ktk mambo mengi yahusuyo dini kibaya zaidi inapingana hata na taasisi zingine za kiislam.nawaulizeni wadau BAKWATA NI ya nani?
Mkuu,Ushahidi upo tena mweupee. tuombe mungu, nipo kwenye kufanya upekuzi wa vitabu mbali mbali ili nikupe uupitie kwa faida yako na wengine.Umeongea vizuri, lakini una ushahidi kuwa ni Nyerere aliua ulichokiita EAMWS (what is the long form it it). We need concrete evidence and not speculations!
Mkuu punguza lugha za kebehi, unalichafua jukwaa.Preta, wewe ni mwislamu au! Kama ni mwislamu una haki ya kunena/kuhoji, vinginevyo wacha wafu wazike wafu wao!
Kama huyu Sheykh wa mkowa wa Dar-salam, lazima atakua TISS.ni jumuiya mojawapo ya CCM,huku kikiwa ni kitengo muhimu cha TISS
Kama huyu Sheykh wa mkowa wa Dar-salam, lazima atakua TISS.
baada ya kusoma rejea mbalimbali kufahamu historia ya
Yule shekh anabusara sana na ndo kielelezo cha uislam ambao ulipaswa kuwa. Acha roho ya ugaidi.