Tuoneshane na majibu basi??:wink:
babu mimi sikumshauri kutumia akili, nilimshauri kuchukua break......Unasema huwezi kutumia akili ya juu wakati hapa umemfundisha mwenzio kutumia akili??
Ila ukweli ni kwamba, kutumia mtu mpya kufuta machungu ya zamani ni sawa na kujivisha mambo ambayo yatakulipukia ukiwa peke yako bafuni!!
Babu DC!!
mimi nadhani Smile anataka kujiahidi kutumia akili kubwa lakini bado hajawezea, labda twishen inabidi itumike hapa......Umeona @FP?
Mie huwa nasema siku zote, hakuna tiba bora kama kumalizana na illusions..lol!!
Ndiyo maana mdodo wangu Smile amekua sasa...hatumii tena moyo bali anatumia akili kubwa!!
Babu DC!!
Acha kumchuuza mwenzio wewe,
Kesha-declare kwamba amefunga kitabu halafu unamjaza maneno ya kichochezi...
Ukiendelea hivi mie naripoti abuse haraka!
Babu DC!!
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.
Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?
Something inspired me to come up with this thread (curtsey of Frank ); sio hali halisi niliyonayo; Kongosho na Makoyo walinipata, lengo ilikuwa kupata mjadala tu, thanks all!
View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013
Hivi unaweza kupoteza muda wako kumsikiliza Kongosho??
Kila siku nikimsimulia Bibi kwamba kuna mjukuu mmoja JF anavuta bangi kuliko watoto wa vijiweni Tandika na Temeke anabaki kucheka hadi anajiloanisha kwa machozi.....
Shaurilo kama unauvaa mkenge wake!
Babu DC!!
He he he he,babu mbona unajihami?
Tutaoneshana majibu PM, maana huwezi jua nani akaibuka kidedea
Sitaki tumwue bibi kwa presha ya kukuwekea ulinzi wa KK sekurite
He he he he, mbona unaogopa?
Hebu tuache sie tuandae makabrasha ya intavyuu
Na nitahakikisha 'I win' hata kama hongo itahusika au kalumazila:lying:
You don't know what you have until you loose it
au
you don't know what you are missing until it arrives.
Should l let him go kwa kutegemea kwamba huyu anayenifukuzia huenda akawa mzuri au niendelee naye kwa kuhofia nikimpoteza sintapata mtu kama yeye?
Something inspired me to come up with this thread (curtsey of Frank ); sio hali halisi niliyonayo; Kongosho na Makoyo walinipata, lengo ilikuwa kupata mjadala tu, thanks all!
View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013View attachment 84013
Unataka feedback??
Ujue watu wengine sie wabaya, ukisema unataka feedback naelewa unataka 'mtoto':second🙁nimechagua makusudi second, najua bibi ni festi) :behindsofa:
Na uzee wote huu mtoto wa nini??
Ni mafweza kwamba nitaongezea kwenye pensheni yangu yanisukume sukume kabla sijajiendea zangu?
Haya mambo ya watoto ni yenu nyie ambao hamjamaliza kutimiza wajibu wenu wa kuijaza dunia..lol!!
Samahani, mtoto hata wa kurumangia simhitaji Kongosho!!
Babu DC!!
Usitukame wakunga babu na uzazi ungalipo?!
Au usitukane mamba wakati hujavuka mto
Wanamme hawana menopozi ujue?
Na vascetomy je?
Bora menopose inaweza kuwa reversed kama bado ni changa!!
Babu DC!!