Nina wazo la biashara ila sina mtaji

Yakinikuta Kama yako! Nilikuwa Nina kabiashara kakuuza mishikaki barabarani nikawa napata Faida 8,000-12,000 kwa siku nilikuwa naanza biashara saa 12 jioni mpk saa 4 usiku..
Sasa Basi nikataka nikuze mataji kwa kuongeza ndizi Choma na za kukaanga pamoja kuongeza mda wa kufungia badala ya Saa 12 iwe saa 9 jioni.. ebwana ehee niliangaika Sana kupata 50,000..
MUNGU mkubwa now nimeajiliwa nalipwa zaidi ya laki 900k per monthly....
Sorry.. hizo faida za 8000 - 12000 ulikua unazipeleka wapi?
 
10k hapo nachukua tatu zilizofungwa. Mtaa mgumu sana kumuuzia mtu boksa moja kwa elfu tatu. Mtu anayeweza toa 5k kwa boksa moja basi huyo hanunui rejareja za mkononi, ananunua zilizofungwa. Naamini biashara ni uhalisia
Aisee mara ya mwisho kuulizia ilikua lini mkuu? Maana hata haya masoko yetu ya buguruni, karume, k/koo, tandika za 5k zimejaa, au sisi wengine huwa tunaonekana wakishua?
 
Aisee mara ya mwisho kuulizia ilikua lini mkuu? Maana hata haya masoko yetu ya buguruni, karume, k/koo, tandika za 5k zimejaa, au sisi wengine huwa tunaonekana wakishua?
Boksa tatu si zinauzwa 10k zimefungwa kwenye transparent plastic bag na pensi nyeupe kubwa hivi. Sasa unanunuaje boksa elfu tano, afu kwanza unaanzaje kununua boksa zimetandikwa kwenye meza zinashikwashikwa au ndo zile za Banana Republic na michoro ya bangi.

Hakunaga boksa ya kishua hata uvae LV, DG au YSL zote sawa hapa mtaani
 
50000 unataka mtaji......Fanya hiviiii, chukua simu yako tazama unamajina mangapii kwenye phone book, naamini majina uliyonayo ynazidi 50, so Fanya hiviiii.....andika message ukiomba wakuazime,kila mtu akutumie buku Tu, waambie unashida nayo katika maisha yako, wakikutumia hao 50, utakuwa umepata mtaji. Na ukiona wamechomoa kukupa buku,so nenda sehemu ya message imeandikwa delete name,kisha futa Jina lake,maana huyo jamaa hafai kuwa karibu nawee......nawaza tu, si unajua akili za kvant MDA huuu.......
hili Wazo mbona Kama lina work hivi
 
Mkuu vp miaka ya Leo vyanzo vya mkiopo ni ving hata through plays like mkeka bet,Biko ,bonanza la 200 na vingine ni risk but ni vyanzo vya mkopo.Ukifel huko kwenye Ile lain yako ya Voda bonyeza *150*00# alaf ok chagua 5 then songesha alaf lisongeshe mdogomdogo had ufike 50k
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom