Nina wazo la biashara ila sina mtaji

Juzijuzi 10,000
1)nimenunua suruali ya kitambaa Executive kabisa
2)Mashati mawili Safi
4)Pesa ya kwafundi humohumo
5)Na chenji nimekula mishikaki yakutosha
Ila wanaume mnapendeza sana mkivaaga hizi kadet...masuruali ya vitambaa achien wasukuma
 
Masuala ya Interview na connection lazima uwe kwenye Code of ethics shangazi.

Mavazi yangu ya mtaani modo kalii inakamata chini damu haipiti nawekaga na zipu unyama tu
Hahahahahaa....kumbe za interview🤣🤣🤣...dah...hongera
 
Wana jf Wenzangu hiyo biashara ndo nimeona Kwangu sijapenda wala kutaka kuwa omba omba mnaposema kuuza simu hii nimepewa tu na mtu kutumia, sina jinsi naomba nipambane tu na hali yangu, sina jinsi na mnaposema kujichanganya kitaa nimeshatafuta kazi za barua mpaka nimechoka, mi siwezi kumlazimisha mtu anisaidie nimeshaonekana tapeli humu JF naomba niwaache tu ntakuwa nachangia kama uzi ukitaka nifanye hivyo, nashukuru kwa wengine kunipa moyo Asante sana🙏🙏😔🚶🚶
 
Hujasimangwa mkuu....kuna watu tulisimangwa na familia....wewe cha mtoto mbona..tena hiyo ikupe nguvu kutafta chako ..ushauri wa tembo wangu ufatilie...katika hiyo list ya 50 friends add me...mbona utapata tu.....kubali na pendwa kusimangwa inaamsha ari fulani sana...usipende kusifiwa kamwe!
 
Kutana na huyu

Thread 'Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani' Ushauri: Nina milioni 6 lakini sijui nifanye biashara gani
 
Hujasimangwa mkuu....kuna watu tulisimangwa na familia....wewe cha mtoto mbona..tena hiyo ikupe nguvu kutafta chako ..ushauri wa tembo wangu ufatilie...katika hiyo list ya 50 friends add me...mbona utapata tu.....kubali na pendwa kusimangwa inaamsha ari fulani sana...usipende kusifiwa kamwe!
Sina rafiki mwenye msaada wowote kwangu binadamu yoyote anajua kilichomzunguka ni kitu gani?
 
Yakinikuta Kama yako! Nilikuwa Nina kabiashara kakuuza mishikaki barabarani nikawa napata Faida 8,000-12,000 kwa siku nilikuwa naanza biashara saa 12 jioni mpk saa 4 usiku..
Sasa Basi nikataka nikuze mataji kwa kuongeza ndizi Choma na za kukaanga pamoja kuongeza mda wa kufungia badala ya Saa 12 iwe saa 9 jioni.. ebwana ehee niliangaika Sana kupata 50,000..
MUNGU mkubwa now nimeajiliwa nalipwa zaidi ya laki 900k per monthly....
 
Ulitia Nia mkuu..
All the best
 
Back
Top Bottom