Uchaguzi 2020 Upinzani twende na Membe 2020!

Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
4,240
9,527
Nianze kwa kuomba samahani kwa niliowakwaza kwa heading hapo juu!

I am a realist and I wish to remain so!

Upinzani haujafa kama JPM alivyotamaani ila umeumia!

Our house isn't in orderWe can't realistically mount a challenge against Membe come 2020!

I want to forget about JPM because he is not even a challenger.

Nawashauri viongozi wangu tukae chini na Membe kabla. Tukae nae sasa tukiwa na 'leverage'.

Atuhakikishie kutakuwa na a level field of play kwenye uchaguzi wa wabunge na madiwani ili sisi tumuongezee nguvu kwenye urais.

Membe is not a foolish guy, hatafanya yanayofanyika sasa akiwa rais.

Wakati huo 'we bring order in our house'.
Na tunajipanga kuchalenge kwenye chaguzi za mbele kuliko ilivyokuwa 2015.

Samahani kwa nitakaokua nimewakera.
Haya ni mawazo yangu binafsi!

Tumsupport akiwa CCM
 
Kwa hali ilivyo ni heri Membe mara elf elf.
Hata ccm pia wajue wakimtoa magufuli tutawaunga mkono magufuli ameliumiza mno taifa ameigawa mno jamii he is a misfit indeed kiongozi lazima uwe unifying factor ss magu sio halafu ni katili mbaya anaejificha kwenye kivuli cha

Vyeti fake
Ghost workers
Stiglaz goj
Mabeberu
Uzalendo fake
Reli
Tunaibiwa kwelikweli
Nk

Hivyo ndio vichaka vyake vya kujifichia huku akiumiza taifa.// ccm wakituondolea hii shida sasa watabarikiwa LA hawakuiondoa damu zitakazomwagika na ziwe juu yao na vizazi vyao!!

Magufuli must go now to heal the nation!!
 
Siasa za Tz ni upepo tu,ukivuma upande huu wote wanalalia huko,anyway acha politikisi ziendelee
 
Kuna ripoti ilishawahi kutoka ikionesha kuwa TANZANIA watu wake ni vinara wa UNAFIKI duniani, sitaki kuamini hili moja kwa moja
 
Back
Top Bottom