Nina wasiwasi mchezo huu unachezwa na watu wa system ili kucheza na akili zetu

Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........

Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe

Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona

Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa
Kajifunze kwanza tofauti ya r na l

Hiz pumba wape kuku,bata wale!

Mtu mzima hata kujieleza huwezi!pathetic
 
Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........

Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe

Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona

Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa

Mkuu Mimi sikuwepo kwa Kipindi kirefu kidogo hapa Jamvini kwani kumetokea nini hapa nchini Kwetu Tanzania?
 
We mjinga ssna. Jiwe atazuia membe au kinana kwenda mahakamani. Mbona Mange hamkusema haya. Na michango mlitoa atukane vizuri. Huwa napata wasiwasi sana na hali ya ubongo wenu. Scheisse
kwamba hao watu wana nguvu kiasi gani hadi kuzuia msibaah asishtakiwe

jiwe hawezi jitenga na hili na anampa kinga jamaa kwa kuchafua wenzake
 
hamna cha system musiba ni mwenda wazimu kama bosi wake tu.

kwaiyoo magufuli alivyowaita maprofesa amewatoa jalalani, akawaita mawaziri wapumbavu, majaliwa ntawapiga shangazi zako, nayoo ni SYSTEM IMEPANGA???

ole sabaya anaomba rushwa anasema anawasiliana kutoka juu anatembea na wake za watu, anakunywa na kukimbia bill kujifanya kalewa SYSTEM IMEPANGA??, makonda kuwataja wauza madawa ya kulevya ili kuwachafua nayooo SYSTEM IMEPANGA???

Ni hekima tu hana huyuu JIWE vitu anavyopenda kuona watendaji wake wanafanya ndo vitu vinavyomfanya wanainchi wanamchukia hakuna raisi amewai kuchukiwa mapema kama huyuu.
sidhani kama anakumbuka alishinda kwa 57%
Tupo tunae mpenda wewe na wazururaji wezako ndio
 
Ukweli ndiyo huo, ila kuna kitu kilicho jificha nyuma ya ukweli huo, inaitajika akili ya ziada kutambua, nini kitakachoendelea baada ya halo.
 
Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........

Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe

Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona

Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa
Inaweza kuwa ni kweli mawazo yako ..hii inaweza kuwa wamemzunguka membe au kuwakamata waharifu wote nchini au wanasiasa kuwa mambo yao mipango yao yote inajulikana hasa( au mtandao wa uharifu nchini
 
Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........

Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe

Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona

Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa
Wala usiumize kichwa hiki siyo kizazi kinachoweza kucheza kwenye ngoma yao wanapoteza muda ''You can not teach a dog an old trick''
 
Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........

Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe

Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona

Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa
Unanifanyaga mjanja kumbe hata kuandika na kuchokoza mada hujui....

#DeleteVodaComTanzania
IMG_20190731_121216.jpeg
IMG_20190731_120421.jpeg
 
Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........

Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe

Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona

Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa
Wafanye yote hayo kwa faida gani
 
Kila linalotokea kwenye siasa limepangwa
 
Membe shushushu bingwa anakubalije kudukuliwa kitoto hivyo. Hakujua makampuni ya simu na limtambo jipya vina uwezo huo?
 
Back
Top Bottom