Nina wasiwasi mchezo huu unachezwa na watu wa system ili kucheza na akili zetu

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........

Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe

Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona

Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa
 
Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama na kushitakiwa Mara huyu kanidukua Mimi, Mara hivi Mara vileee.

Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa

Inachanganya zaidi pale Membe anapokubali kuwa amedukuliwa
 
Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........

Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe

Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona

Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa
Tatizo unategemea story zako unazopata uwanja wa Fisi kutafakari mambo nyeti ya kitaifa
 
Pale Nape, Makamba 1 na 2 na akina Nchimbi watakapokuwa jukwaani kumnadi Magufuli kwa nguvu zote..
Huku upande wa pili/upinzani Membe akiwa ndio mgombea mkuu...
Inabaki wanatukanana wenyewe kwa wenyewe in a controlled mood...
Kura zinaibwa.. Aliyeibiwa hachukuwi hatua yoyote kama Mzee Luwasha..
Ndio watu watakuona mtoa thread ni nabii 😁 😁
 
hamna cha system musiba ni mwenda wazimu kama bosi wake tu.

kwaiyoo magufuli alivyowaita maprofesa amewatoa jalalani, akawaita mawaziri wapumbavu, majaliwa ntawapiga shangazi zako, nayoo ni SYSTEM IMEPANGA???

ole sabaya anaomba rushwa anasema anawasiliana kutoka juu anatembea na wake za watu, anakunywa na kukimbia bill kujifanya kalewa SYSTEM IMEPANGA??, makonda kuwataja wauza madawa ya kulevya ili kuwachafua nayooo SYSTEM IMEPANGA???

Ni hekima tu hana huyuu JIWE vitu anavyopenda kuona watendaji wake wanafanya ndo vitu vinavyomfanya wanainchi wanamchukia hakuna raisi amewai kuchukiwa mapema kama huyuu.
sidhani kama anakumbuka alishinda kwa 57%
 
Nimejaribu kukaa na kutafakari ivi haya mambo naona hayangii akili kama ni kweli au si kweli ila ninachoona kuna watu wanacheza akiri zetu je watu wenyewe ni akina nani...........

Ukiliangalia hili jambo kwa umakini utaona kama vile kuna watu walikaa chini wakapanga tufanye hivi tufanye vile ili tuone watu wanasemaje alafu mcxiibah yeye awe kama mchokoza mada alafu sisi tuwe kama watuhumiwa tuanze kumtuhumu huyu baba anatuchafua kumbe mchezo tunaucheza sisi wenyewe

Kwa akili ya kawaida hebu tujiulize tuhuma zote alizozitoa mxiibah kama zingekuwa kweli ivi Leo hawa jamaa si wangekuwa wameshafukuzwa uanachama au tungeshaona watu wamehama wameamia upande wa pili chama kingine cha pili lakini bana haya mambo jinsi yanavyokwenda Mara watu wameandika walaka, Mara watu sijui wamedukuliwa, Mara ivi Mara vile mapicha pichaa ninayaona

Mimi upande wangu huu mchezo ninauona kabisa tunachezewa tuu akiri hapaaa nitakuwa mtu wa mwisho kuamini kama haya mambo ni kweli ila Mimi upande wangu naona yakutengenezwa
Lengo la kuyatengeneza yote hayo ni Nini.
 
Umeongea point kama ilivyokuwa mwaka 2015 picha ni ile ile inajirudia ilikuwa hivi hiviiiii
Pale Nape, Makamba 1 na 2 na akina Nchimbi watakapokuwa jukwaani kumnadi Magufuli kwa nguvu zote..
Huku upande wa pili/upinzani Membe akiwa ndio mgombea mkuu...
Inabaki wanatukanana wenyewe kwa wenyewe in a controlled mood...
Kura zinaibwa.. Aliyeibiwa hachukuwi hatua yoyote kama Mzee Luwasha..
Ndio watu watakuona mtoa thread ni nabii
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom