Nina uzoefu wa kazi za usekretari, natafuta Ajira

Habari wana Forum Mimi ni Msichana Wa Miaka 26 Nina Elimu ya Kidato cha Nne Kwa Ngazi Ya Cheti Ninatafuta ajira Nina uzoefu wa Kutumia Computer Kwenye Maswali ya Microsoft Word, Microsoft Excel na maswala mengine nilishawahi kufanya Kazi za Secretary Katika Ofisi ya madai ya mikopo Bin Huwi na Kufanya katika Stationary 2 Pamoja na Cyber

Nipo Dar es salaam Tabata
Kazi ya sales utaiweza,kama unaiweza nicheki 0656 884397.
 
Kumbe mapenzi basi ni ya jinsia moja hayo mapenzi sio mbaya kikubwa ni kwamba yatakuwa hayatii mimba
Nadhani hukunielewa, ninaposema mapenzi inaweza ikawa boss ana mpenzi/mume wake na akawa na wivu kuwa si ajabu atakupenda wewe.
 
Habari wana Forum Mimi ni Msichana Wa Miaka 26 Nina Elimu ya Kidato cha Nne Kwa Ngazi Ya Cheti Ninatafuta ajira Nina uzoefu wa Kutumia Computer Kwenye Maswali ya Microsoft Word, Microsoft Excel na maswala mengine nilishawahi kufanya Kazi za Secretary Katika Ofisi ya madai ya mikopo Bin Huwi na Kufanya katika Stationary 2 Pamoja na Cyber

Nipo Dar es salaam Tabata
tuwasiliane kuna kazi ya staionary na kufundisha computer -0717157640
 
Habari wana Forum Mimi ni Msichana Wa Miaka 26 Nina Elimu ya Kidato cha Nne Kwa Ngazi Ya Cheti Ninatafuta ajira Nina uzoefu wa Kutumia Computer Kwenye Maswali ya Microsoft Word, Microsoft Excel na maswala mengine nilishawahi kufanya Kazi za Secretary Katika Ofisi ya madai ya mikopo Bin Huwi na Kufanya katika Stationary 2 Pamoja na Cyber

Nipo Dar es salaam Tabata
Tunahitaji wafanyakazi wawili (wa kike) i wenye uzoefu na staionary.computer na pia kufundisha au kuelekeza wanafunzi kutumia computer.Pia awe na uwezao wa kusimamaiaw wengine ofisini wasiliana nasi -0717157640
 
Nakucheck
 
kuna kazi ya markerting moshi tuma cv au tuwasiliane
0717157640
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom