Nina utaalamu wa madini ya Almasi, natafuta mbia mmoja wa kufanya nae biashara hii

Billy Kimber

Member
May 20, 2022
89
193
Almasi ni miongoni mwa vito vya thamani (gemstone) na ni madini magumu na ghali zaidi kuliko madini yote katika uso wa dunia.

MATUMIZI YA ALMASI
Almasi inatumika katika matumizi tofauti tofauti kama
-Urembo (Hapa tunahusisha pete,hereni,saa nk)
-Kukatia vioo
-Kwenye vifaa vya kimatibabu (Mfano Cancer treatment instruments)
-Kutunza thamani ya pesa

UPATIKANAJI WAKE
Kwa Tanzania madini ya almasi yanapatikana hasa hasa katika mkoa wa Shinyanga eneo la Mwadui,Maganzo katika wilaya ya Kishapu na baadhi ya maeneo ya wilaya ya Kahama.

Japo pia kuna baadhi ya ya sehemu kulisemekana kugundulika kwa madini haya mfano Singida japo sina uhakika sana.

VITU VYA KUZINGATIA KATIKA BIASHARA YA ALMASI

Kabla ya kuingia kwenye biashara hii ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo

i)Kuwa na kibali/leseni
Leseni hii hutolewa kwenye ofisi ya kamishna wa madini ya kanda.Ukifika hapo utapata utaratibu wa jinsi ya kufanya kuweza kupata leseni yako.

Kuna leseni za aina tatu
-Leseni ya uchimbaji
-Leseni ya broker (mlanguzi/kununua na kuuza ndani ya nchi)
-Master Dealer kwa wale wanaohitaki kununua na kusafirisha nje ya nchi

ii) Kitu cha pili cha kuzingatia ni ujuzi na uelewa sahihi wa kutambua almasi halisi na yenye thamani.Hapa nazungumzia namna gani unaweza kuitambua almasi ambayo ni feki na almasi ambayo ni Original.

Lakini pia kujua vitu vinavyoipa thamani almasi yani 4Cs (Cut,Carat,Clarity na Color)

iii) Kuwa na taarifa sahihi za juu ya masoko. Unatakiwa ujue wapi utachukulia mzigo,wapi utakapouza,bei na pia kutengeneza trustable connection kati yako na wauzaji &wanunuzi. Kuwa mwaminifu ndio siri kuu hapa.

BEI YA ALMASI

Almasi haina bei maalumu kama ilivyo dhahabu bali bei ya Almasi inakuwa determined na vitu vinne 4Cs ambavyo ndivyo vinavyoipa thamani. Vitu hivyo ni Carat,Color,Cut na Clarity.Kadri Almasi inapokua na 4Cs nzuri ndivyo thamani yake pia inavyokua kubwa

Carat
Hiki ni kipimo cha uzito wa Almasi.1 Carat =200mg
Kwa muktadha huu ni kuwa kadri almasi yako inapokua na uzito mkubwa na bei pia inakua kubwa.Japo kigezo hiki pekee hakitoshi kuipa thamani pasipo kuzingatia Cs nyingine.

Color
Almasi mara nyingi inakua na rangi tofauti tofauti kutoka unjano hadi kutokua na rangi kabisa.Kadri almasi inavyokua colorless ndivyo pia thamani yake inakua juu.Valuable almasi ni ile ambayo haina rangi .

Rangi katika almasi zimewekwa kwenye makundi kutokea D,E,F....hadi Z.

Almasi ambayo ni colorless ni herufi za mwanzoni kutokea D na zinaongezeka rangi kadri unavyosogea herufi Z.

Clarity
Hapa tunaongelea usafi wa almasi (free from impurities).Mara nyingi almasi huwa ina viambata ambavyo huwa vinaitwa Inclusions ambavyo huwa vipo ndani ya Almasi.Almasi ambavyo ina Inclusions chache au isiyokua nazo kabisa inakua na thamani zaidi.

Cut
Katika Cut tunazungumzia shape ya almasi. Almasi ya mviringo iliyobulk(iliyotuna) ni chagua pendwa zaidi kwani inampa mkataji namna nyingi za kuweza kuikata .

Vitu hivi vinne ndivyo vinavyoweza kukuhakikishia bei nzuri ya almasi sokoni.Ukivimaster vitu hivi unaweza kuuza almasi mara 15 ya thamani uliyonunulia

MODE NZURI YA BIASHARA

Mode nzuri ya biashara hii ni kuwa broker.Broker hapa namaanisha kununua Almasi kutoka kwenye machimbo na kuyauza kwenye masoko kadri unavyoweza.

Mode hii ni rahisi kwani haihitaji mtaji mkubwa lakini pia inakupa muda wa kuyatambua vizuri madini na uzoefu katika safari ya kujipanua kuwa Masterdealer.

MTAJI
Haishauriwi uingine na mtaji mkubwa bali anza na kiasi kidogo wakati unagain momentum na kupata uzoefu zaidi. Kwa kuanzia USD 2000 inatosha kabisa.Hii ni kwa broker

LENGO
Lengo la uzi huu ni kutafuta mtu ambae tunaweza kuingia ubia na tukafanya biashara hii kwa uwazi.Kwani nina ufahamu na utambuzi madini haya na pia nafahamu jinsi soko linavyooperate kwa kiasi chake.

Mimi ni kijana ambae nmemaliza chuo hapa Dar miaka michache iliyopita .Nimekulia katika mazingira yenye madini haya (Maganzo).Hivyo ni kitu ambacho niko familiar nacho ila kwa sasa napatikana Dar.

Kutakua na uwazi mkubwa wakati wa kuingia ubia huu na tutafata hatua zote kisheria za kuoperate .Tutakua wote mguu kwa mguu katika kila hatua ya ufanikishaji wa biashara.

Kama uko interested unaweza ukaniPM..Kama una swali au jambo lolote unaweza kuniuliza
IMG-20220414-WA0003.jpg
 
Almasi ni miongoni mwa vito vya thamani (gemstone) na ni madini magumu na ghali zaidi kuliko madini yote katika uso wa dunia.

MATUMIZI YA ALMASI
Almasi inatumika katika matumizi tofauti tofauti kama
-Urembo (Hapa tunahusisha pete,hereni,saa nk)
-Kukatia vioo
-Kwenye vifaa vya kimatibabu (Mfano Cancer treatment instruments)
-Kutunza thamani ya pesa

UPATIKANAJI WAKE
Kwa Tanzania madini ya almasi yanapatikana hasa hasa katika mkoa wa Shinyanga eneo la Mwadui,Maganzo katika wilaya ya Kishapu na baadhi ya maeneo ya wilaya ya Kahama.

Japo pia kua baadhi ya ya sehemu kulisemekana kugundulika kwa madini hayo mfano Singida japo sina uhakika sana.

VITU VYA KUZINGATIA KATIKA BIASHARA YA ALMASI

Kabla ya kuingia kwenye biashara hii ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo

i)Kuwa na kibali/leseni
Leseni hii hutolewa kwenye ofisi ya kamishna wa madini ya kanda.Ukifika hapo utapata utaratibu wa jinsi ya kufanya kuweza kupata leseni yako.

Kuna leseni za aina tatu
-Leseni ya uchimbaji
-Leseni ya broker (mlanguzi/kununua na kuuza ndani ya nchi)
-Master Dealer kwa wale wanaohitaki kununua na kusafirisha nje ya nchi

ii) Kitu cha pili cha kuzingatia ni ujuzi na uelewa sahihi wa kutambua almasi halisi na yenye thamani.Hapa nazungumzia namna gani unaweza kuitambua almasi ambayo ni feki na almasi ambayo ni Original.

Lakini pia kujua vitu vinavyoipa thamani almasi yani 4Cs (Cut,Carat,Clarity na Color)

iii) Kuwa na taarifa sahihi za juu ya masoko. Unatakiwa ujue wapi utachukulia mzigo,wapi utakapouza,bei na pia kutengeneza trustable connection kati yako na wauzaji &wanunuzi. Kuwa mwaminifu ndio siri kuu hapa.

BEI YA ALMASI

Almasi haina bei maalumu kama ilivyo dhahabu bali bei ya Almasi inakuwa determined na vitu vinne 4Cs ambavyo vinaipa thamani. Vitu hivyo ni Carat,Color,Cut na Clarity.Kadri Almasi inapokua na 4Cs nzuri ndivyo thamani yake pia inavyokua kubwa

Carat
Hiki ni kipimo cha uzito wa Almasi.1 Carat =200g
Kwa muktadha huu ni kuwa kadri almasi yako inapokua na uzito mkubwa na bei pia inakua kubwa.Japo kigezo hiki pekee hakitoshi kuipa thamani pasipo kuzingatia Cs nyingine.

Color
Almasi mara nyingi inakua na rangi tofauti tofauti kutoka unjano hadi kutokua na rangi kabisa.Kadri almasi inavyokua colorless ndivyo pia thamani yake inakua juu.Valuable almasi ni ile ambayo haina rangi .

Rangi katika almasi zimewekwa kwenye makundi kutokea D,E,F....hadi Z.

Almasi ambayo ni colorless ni herufi za mwanzoni kutokea D na zinaongezeka rangi kadri unavyosogea herufi Z.

Clarity
Hapa tunaongelea usafi wa almasi (free from impurities).Mara nyingi almasi huwa ina viambata ambavyo huwa vinaitwa Inclusions ambavyo huwa vipo ndani ya Almasi.Almasi ambavyo ina Inclusions chache au isiyokua nazo kabisa inakua na thamani zaidi.

Cut
Katika Cut tunazungumzia shape ya almasi. Almasi ya mviringi iliyobulk(iliyotuna) ni chagua pendwa zaidi kwani inampa mkataji namna nyingi za kuweza kuikata .

Kama uko interested unaweza ukaniPM..Kama una swali au jambo lolote unaweza kuniulizaView attachment 2240627
Kuingia ubia kivipi? ....
 
Swali
Una uzoefu wa madini kwa muda sasa hayo Madini unayajua Vipi kama ni feki ama maana hujasema kama unatumia mitambo ama
Je huyo MBIA akiambiwa mali imenyang’anywa na polisi
Yaani nataka kujua mengi ingawa sintaingiza senti yangu hapa
 
Kuna namna ya kugundua kama Almasi ni feki au ni OG.Unaweza kutumia njia za asili au za kitaalamu kutambua hili

Mfano njia za asili ni kama kuiweka juu ya gazeti/maandishi na kuangalia maandishi yanavyoonekana,iwapo maandishi yatasomeka bila kupinda basi ujue almasi hio ni feki lakini kama almasi ni OG maandishi yatasomeka kwa kupinda pinda.Kuna njia nyingi lakini hii ni mojawapo

Pia kuna njia za kitaalamu kwa kutumia mashine mfano kutumia Diamond tester,Loupe na vifaa vingine.

Ikiwa utakua na kibali na unalipa kodi hakuna atakaekusumbua mkuu.Kunyanganywa na polisi inakuja kama umefanya dili kimchongo .Itakua mguu kwa mguu na huyo partner maana naye atahitaji kujifunza baadhi ya vitu
 
Kuna namna ya kugundua kama Almasi ni feki au ni OG.Unaweza kutumia njia za asili au za kitaalamu kutambua hili

Mfano njia za asili ni kama kuiweka juu ya gazeti/maandishi na kuangalia maandishi yanavyoonekana,iwapo maandishi yanasomeka bila kupinda basi hio almasi ni feki lakini kama almasi ni OG maandishi yatasomeka kwa kupinda pinda.Kuna njia nyingi lakini hii ni mojawapo

Pia kuna njia za kitaalamu kwa kutumia mashine mfano kutumia Loupe na vifaa vingine.

Ikiwa utakua na kibali na unalipa kodi hakuna atakaekusumbua mkuu.Kunyanganywa na polisi inakuja kama umefanya dili kimchongo .Itakua mguu kwa mguu na huyo partner maana naye atahitaji kujifunza baadhi ya vitu
Upatikanaji wa almasi ukoje?..... Je zinapatikana kila wakati..?... Au ndio unakaa mwezi mzima hamjapata almasi ya kununua mpaka mtaji unakata.
 
Almasi ni miongoni mwa vito vya thamani (gemstone) na ni madini magumu na ghali zaidi kuliko madini yote katika uso wa dunia.

MATUMIZI YA ALMASI
Almasi inatumika katika matumizi tofauti tofauti kama
-Urembo (Hapa tunahusisha pete,hereni,saa nk)
-Kukatia vioo
-Kwenye vifaa vya kimatibabu (Mfano Cancer treatment instruments)
-Kutunza thamani ya pesa

UPATIKANAJI WAKE
Kwa Tanzania madini ya almasi yanapatikana hasa hasa katika mkoa wa Shinyanga eneo la Mwadui,Maganzo katika wilaya ya Kishapu na baadhi ya maeneo ya wilaya ya Kahama.

Japo pia kua baadhi ya ya sehemu kulisemekana kugundulika kwa madini hayo mfano Singida japo sina uhakika sana.

VITU VYA KUZINGATIA KATIKA BIASHARA YA ALMASI

Kabla ya kuingia kwenye biashara hii ni muhimu kuzingatia mambo yafuatayo

i)Kuwa na kibali/leseni
Leseni hii hutolewa kwenye ofisi ya kamishna wa madini ya kanda.Ukifika hapo utapata utaratibu wa jinsi ya kufanya kuweza kupata leseni yako.

Kuna leseni za aina tatu
-Leseni ya uchimbaji
-Leseni ya broker (mlanguzi/kununua na kuuza ndani ya nchi)
-Master Dealer kwa wale wanaohitaki kununua na kusafirisha nje ya nchi

ii) Kitu cha pili cha kuzingatia ni ujuzi na uelewa sahihi wa kutambua almasi halisi na yenye thamani.Hapa nazungumzia namna gani unaweza kuitambua almasi ambayo ni feki na almasi ambayo ni Original.

Lakini pia kujua vitu vinavyoipa thamani almasi yani 4Cs (Cut,Carat,Clarity na Color)

iii) Kuwa na taarifa sahihi za juu ya masoko. Unatakiwa ujue wapi utachukulia mzigo,wapi utakapouza,bei na pia kutengeneza trustable connection kati yako na wauzaji &wanunuzi. Kuwa mwaminifu ndio siri kuu hapa.

BEI YA ALMASI

Almasi haina bei maalumu kama ilivyo dhahabu bali bei ya Almasi inakuwa determined na vitu vinne 4Cs ambavyo vinaipa thamani. Vitu hivyo ni Carat,Color,Cut na Clarity.Kadri Almasi inapokua na 4Cs nzuri ndivyo thamani yake pia inavyokua kubwa

Carat
Hiki ni kipimo cha uzito wa Almasi.1 Carat =200g
Kwa muktadha huu ni kuwa kadri almasi yako inapokua na uzito mkubwa na bei pia inakua kubwa.Japo kigezo hiki pekee hakitoshi kuipa thamani pasipo kuzingatia Cs nyingine.

Color
Almasi mara nyingi inakua na rangi tofauti tofauti kutoka unjano hadi kutokua na rangi kabisa.Kadri almasi inavyokua colorless ndivyo pia thamani yake inakua juu.Valuable almasi ni ile ambayo haina rangi .

Rangi katika almasi zimewekwa kwenye makundi kutokea D,E,F....hadi Z.

Almasi ambayo ni colorless ni herufi za mwanzoni kutokea D na zinaongezeka rangi kadri unavyosogea herufi Z.

Clarity
Hapa tunaongelea usafi wa almasi (free from impurities).Mara nyingi almasi huwa ina viambata ambavyo huwa vinaitwa Inclusions ambavyo huwa vipo ndani ya Almasi.Almasi ambavyo ina Inclusions chache au isiyokua nazo kabisa inakua na thamani zaidi.

Cut
Katika Cut tunazungumzia shape ya almasi. Almasi ya mviringi iliyobulk(iliyotuna) ni chagua pendwa zaidi kwani inampa mkataji namna nyingi za kuweza kuikata .

Vitu hivi vinne ndivyo vinavyoweza kukuhakikishia bei nzuri ya almasi sokoni.Ukivimaster vitu hivi unaweza kuuza almasi mara 15 ya thamani uliyonunulia

MODE NZURI YA BIASHARA

Mode nzuri ya biashara hii ni kuwa broker.Broker hapa namaanisha kununua Almasi kutoka kwenye machimbo na kuyauza kwenye masoko kadri unavyoweza.

Mode hii ni rahisi kwani haihitaji mtaji mkubwa lakini pia inakupa muda wa kuyatambua vizuri madini na uzoefu katika safari ya kujipanua kuwa Masterdealer.

MTAJI
Haishauriwi uingine na mtaji mkubwa bali anza na kiasi kidogo wakati unagain momentum na kupata uzoefu zaidi. Kwa kuanzia USD 2000 inatosha kabisa.Hii ni kwa broker

LENGO
Lengo la uzi huu ni kutafuta mtu ambae tunaweza kuingia ubia na tukafanya biashara hii kwa uwazi.Kwani nina ufahamu na utambuzi madini haya na pia nafahamu jinsi soko linavyooperate kwa kiasi chake.

Mimi ni kijana ambae nmemaliza chuo hapa Dar miaka michache iliyopita .Nimekulia katika mazingira yenye madini haya (Maganzo).Hivyo ni kitu ambacho niko familiar nacho ila kwa sasa napatikana Dar.

Kutakua na uwazi mkubwa wakati wa kuingia ubia huu na tutafata hatua zote kisheria za kuoperate .Tutakua wote mguu kwa mguu katika kila hatua ya ufanikishaji wa biashara.

Kama uko interested unaweza ukaniPM..Kama una swali au jambo lolote unaweza kuniulizaView attachment 2240627
Mkuu,
Umeeleza vizuri sana, hongera!
Seems una ufahamu mkubwa wa haya mambo.
Kwa ujuzi huu, nashangaa imekuwaje huna mtaji, au kuna wasanii wamekuingiza mkenge?!

Ila kuna sehemu moja umekosea..
Hii hapa
👇👇

Carat
Hiki ni kipimo cha uzito wa Almasi.1 Carat =200g
Ukweli ni hivi:
1 gm = 5 carats
 
Mkuu,
Umeeleza vizuri sana, hongera!
Seems una ufahamu mkubwa wa haya mambo.
Kwa ujuzi huu, nashangaa imekuwaje huna mtaji, au kuna wasanii wamekuingiza mkenge?!

Ila kuna sehemu moja umekosea..
Hii hapa

Ukweli ni hivi:
1 gm = 5 carats
Shukrani sana mkuu..nilikosea tu kuandika nilikua namaanisha 1 carat=200mg
 
tupe bei ya kila carat kutoka ktka kila 4Cs

C ya kwanza
C ya pili
C ya tatu
C ya nne
 
Back
Top Bottom