Nina uraibu wa wanawake age go

Nina uraibu wa wanawake age go

zee_latown

Member
Joined
Feb 21, 2026
Posts
57
Reaction score
125
niende moja kwa moja. mabinti wengi wana matumbo flat, wamekaukiana, ngozi na makalio magumu, hawana usoft wa kutosha, hawana mafuta, hawana makalio.

Sifa hizo tajwa kwangu sizitaki, wanawake wakubwa wana matumbo makubwa yana hang fulani kwa chini, halafu ni soft mno sijui ndo mnaita kitambi, yeah napenda hilo.

Pia wanawake wakubwa ni very soft.

Nimekuwa addicted kwa kuwa ni ngumu kupata mwanake wa sifa nilizotaja kwa binti wa miaka 25 au 30, so nalazimika kuwatafuta watu wazima kitu ambacho pia kinafanya nishindwe ku date na wasichana warembo.

Msaada wenu tafadhali

its an addiction, nimeona niweke wazi tu, id fake hizi jamani zinatunza heshima zetu sana
asanteni
 
Duh tunatofautiana aisee
Mimi machaguo yangu mwanamke awe mschana mdogo asiwe mwembamba wala mnene asiwe na tako kubwa saaana maziwa yawe madogo awe maji ya kunde
2nd choice napenda wanawake wafupi 5ft kushuka chini huyu aqe na kila kitu nilichokitaja juu.
Sipendi kabisa wanawake ambaye akisimimi kunakuwa na uvungu latikati ya mapaja
 
Mi mwanamke akiwa na kitambi maziwa makubwa yaliyochoka kama ni mke wangu hakuna rangi ataacha kuiona
D7C44CDE-9A9E-4C2D-B3A1-3D500D6A97EA.jpeg

Itakuwaje sasa🫢
 
Duh tunatofautiana aisee
Mimi machaguo yangu mwanamke awe mschana mdogo asiwe mwembamba wala mnene asiwe na tako kubwa saaana maziwa yawe madogo awe maji ya kunde
2nd choice napenda wanawake wafupi 5ft kushuka chini huyu aqe na kila kitu nilichokitaja juu.
Sipendi kabisa wanawake ambaye akisimimi kunakuwa na uvungu latikati ya mapaja
Wenye uvungu siku ukiwaweka doggie utakuja kufuta hiyo comment yako
 
aiii tunafanana tatizo jinsia uwih🤸‍♀️,, wababa kuanzia 40 alf smart ananukia huwa,naishiwa pawa upendo wao huwa sio wa kubahatisha😝 unatritiwa kama ka princess vile🤗,, nilijaribu maramoja nikapagawa mazima
 
niende moja kwa moja. mabinti wengi wana matumbo flat, wamekaukiana, ngozi na makalio magumu, hawana usoft wa kutosha, hawana mafuta, hawana makalio.

Sifa hizo tajwa kwangu sizitaki, wanawake wakubwa wana matumbo makubwa yana hang fulani kwa chini, halafu ni soft mno sijui ndo mnaita kitambi, yeah napenda hilo.

Pia wanawake wakubwa ni very soft.

Nimekuwa addicted kwa kuwa ni ngumu kupata mwanake wa sifa nilizotaja kwa binti wa miaka 25 au 30, so nalazimika kuwatafuta watu wazima kitu ambacho pia kinafanya nishindwe ku date na wasichana warembo.

Msaada wenu tafadhali

its an addiction, nimeona niweke wazi tu, id fake hizi jamani zinatunza heshima zetu sana
asanteni
Sidhani kama ni Addiction

Hata mi Napenda saana wanawake wa hivyo yaani 40+ wenye Nyama laini ambazo zimeanza kushuka haswa nyuma ya mkono kwa juu kati ya kiwiko na Bega (Biceps Brachii) na kwenye mgongo.

Naamini hii ni ladha ambayo inapendwa na wanaume wengi (Kama wengine Wanavyopenda wembamba saana )

Unajikuta unapenda aina ya wanawake hao haswa ukiizoea na Mara nyingi inaweza kuwa kwenye ujana wako ulianza mahusiano na wanawake wa type hii au pia labda Ulidekezwa na kuwekwa karibu na wanawake wa aina hii kwa mfano mama yako hivyo ukajikuta akili yako inakuwa safe na ku enjoy kuwa na wanawake wa hivi.

Na Mimi naamini Hawa ni watamu saana yoyote ambaye hajawahi kujaribu ajaribu wanawake wa 40+ Mmhh hautorudi kwa watoto wadogo

Challenge ya wanawake wa 40+ wengi wanakuwa kwenye commitment zao au kama hawapo huko wengi wako depressed washapigwa saana matukio so wanakuwa very difficult

Na kama unatafuta mwanamke wa hivi kumuoa ni ngumu sana kumpata mi binafsi ni mwaka wa sita natafuta wa hivi kumuoa sijafanikiwa sio kwamba siwapati lakini wengi nao kutana nao Eidha wanasababu hizo mbili so tunashindwa kuendelea
 
Duh tunatofautiana aisee
Mimi machaguo yangu mwanamke awe mschana mdogo asiwe mwembamba wala mnene asiwe na tako kubwa saaana maziwa yawe madogo awe maji ya kunde
2nd choice napenda wanawake wafupi 5ft kushuka chini huyu aqe na kila kitu nilichokitaja juu.
Sipendi kabisa wanawake ambaye akisimimi kunakuwa na uvungu latikati ya mapaja
Kama unawaignore wenye uvungu, basi unakosa vitu vya mhimu kwa uzembe wako aisee
 
aiii tunafanana tatizo jinsia uwih🤸‍♀️,, wababa kuanzia 40 alf smart ananukia huwa,naishiwa pawa upendo wao huwa sio wa kubahatisha😝 unatritiwa kama ka princess vile🤗,, nilijaribu maramoja nikapagawa mazima
Welcome tule pensheni nakaribia kustaafu ..
 
niende moja kwa moja. mabinti wengi wana matumbo flat, wamekaukiana, ngozi na makalio magumu, hawana usoft wa kutosha, hawana mafuta, hawana makalio.

Sifa hizo tajwa kwangu sizitaki, wanawake wakubwa wana matumbo makubwa yana hang fulani kwa chini, halafu ni soft mno sijui ndo mnaita kitambi, yeah napenda hilo.

Pia wanawake wakubwa ni very soft.

Nimekuwa addicted kwa kuwa ni ngumu kupata mwanake wa sifa nilizotaja kwa binti wa miaka 25 au 30, so nalazimika kuwatafuta watu wazima kitu ambacho pia kinafanya nishindwe ku date na wasichana warembo.

Msaada wenu tafadhali

its an addiction, nimeona niweke wazi tu, id fake hizi jamani zinatunza heshima zetu sana
asanteni
sex is between two adults waliozidi 18years

we got nothing to do with that
 
niende moja kwa moja. mabinti wengi wana matumbo flat, wamekaukiana, ngozi na makalio magumu, hawana usoft wa kutosha, hawana mafuta, hawana makalio.

Sifa hizo tajwa kwangu sizitaki, wanawake wakubwa wana matumbo makubwa yana hang fulani kwa chini, halafu ni soft mno sijui ndo mnaita kitambi, yeah napenda hilo.

Pia wanawake wakubwa ni very soft.

Nimekuwa addicted kwa kuwa ni ngumu kupata mwanake wa sifa nilizotaja kwa binti wa miaka 25 au 30, so nalazimika kuwatafuta watu wazima kitu ambacho pia kinafanya nishindwe ku date na wasichana warembo.

Msaada wenu tafadhali

its an addiction, nimeona niweke wazi tu, id fake hizi jamani zinatunza heshima zetu sana
asanteni
Kama unapenda wazee ndio warembo kwako huna haja ya kutafuta ushauri.
Tumia unachopenda mkuu 🙏
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom