Nina ujauzito - nimekata tamaa

mutoto atakua tu hata bila ya baba....

nimekumiss shosti,mudiplomat yupo

Huyu shost kwa kupoteaa!!!ni kweli mtoto hukua bila hata baba asikate tamaa wengi sana hukataa mimba lakin watoto hukua tu kwa Qudra za mola!!!!!
 
Asante kwa mrejesho mkuu hali yake ikoje sasa?
 
usikate tamaa,jipe moyo utashinda ngoja tuingie kwenye maombi,na ibilisi akashindwe kwa jina la YESU
 
Asante kwa mrejesho mkuu hali yake ikoje sasa?

Mpaka alikua poa alikua anasubiria atumiwe nauli na rafiki yake ili aende tena kwao kwani alikua guest alimfata jamaa arusha alipo mwambia tu kafika kisongo jamaa kazima cm akashindwa pa kuelekea....
 
Mpaka alikua poa alikua anasubiria atumiwe nauli na rafiki yake ili aende tena kwao kwani alikua guest alimfata jamaa arusha alipo mwambia tu kafika kisongo jamaa kazima cm akashindwa pa kuelekea....

Hongera mkuu kwa jitihada zako/zenu.
 
Hapana chezea wanaume wewe aende nyumbani wakumfukuza asiondoke...mama ni mama atakasirika sana lakini mwisho wa siku atasamehe...
Asiwe na kibri aoneshe kwamba anajuta kwa kosa lake..
Avumilie maneno ya kejeli kila kitu huja na kuondoka,
 
Be blessed..muendelea kuwa wafariji wa wahitaji.hakika mshalipwa na Mungu.Asante kwa taarifa
 
Mpaka alikua poa alikua anasubiria atumiwe nauli na rafiki yake ili aende tena kwao kwani alikua guest alimfata jamaa arusha alipo mwambia tu kafika kisongo jamaa kazima cm akashindwa pa kuelekea....

Aisee so she is safe now........................
 
Mbona kimya! Ameshajiua kweli nini?

dah haya maisha haya,jamani fanyeni kuhakikisha mwenzetu asijekua katimiza azima yake!

kwa ukimya wake hadi sasa inaonekana ameshavuta!!!! Dah si angenipa mimi huyo mtoto na yeye mwenyewe????

Feed back hii hapa
 
Si ulitaka chai chai kwa nini ulalamike unaungua?
 
Yani nijiue kisa mimba?mtt ni baraka shost,subirii ukijifungua,ujiue peke yako utuachie huyo malaika eboooo!!!!???
 
mpaka alikua poa alikua anasubiria atumiwe nauli na rafiki yake ili aende tena kwao kwani alikua guest alimfata jamaa arusha alipo mwambia tu kafika kisongo jamaa kazima cm akashindwa pa kuelekea....
we ulimpataje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…