Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sum tu nisamehen kwa maamuzi haya sina uelekeo
Unywe sumu kisa kukataliwa.............hebu achana na hayo mawazo
Kisa mutoto maziwa soya 35,000
Ninaujauzito mwanaume kakataa mzazi wangu hataki hata kuniona na kasema nisikanyage kwake sina kazi nimeshindwa cha kufanya nimeona bora ninywe sumu tu nisameheni kwa maamuzi haya sina uelekeo.
Kisa mutoto maziwa soya 35,000
Watajuaje kama kweli mimba ni ya mshkaji?Ulizia namba ya mama Kijo Bisimba au Irene Kiria wakusaidie kumshughulikia huyo kidume.