Mtoto Tajiri
JF-Expert Member
- Sep 29, 2014
- 300
- 173
Ule mtazamo wa kuwa wanawake huwa wanalia ovyo umebadilika sana na Matokeo yake ss Wanaume wa Dar ndio tumekuwa tukijiliza ovyo ovyo tu hadi mitandaoni hii inasikitisha sana!
Kweli kulia lia huko tunaweza kweli hata kufanya mabadiliko kweli,Wanaume wanajiliza liza ovyo tu!
Kweli kulia lia huko tunaweza kweli hata kufanya mabadiliko kweli,Wanaume wanajiliza liza ovyo tu!