Nina tatizo la uvimbe kama gololi kwenye korodani

marwarwa

Senior Member
May 3, 2016
101
42
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba kujuzwa tatizo la uvimbe kwenye korodani na athari zake.
 
Ni tatizo la kiufundi, athari zake ni za muda mrefu! Ni korodani ya kushoto ama ya kulia mkuu?
 
Daaah..kuspecialize tena....tupeni maujuzi basi kuhusu kulia na kushoto
Za kwangu mbona hazijakaa kiupande huo wa kushoto na kulia
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom