Nilivyoelewa mimi jamaa anaishi UAE sasa kuna jamaa huko huwa wanaomba msaada ili kuwapeleka wake zao huko,wakiwaleta wanaomba tena msaada Wabongo wenzao wapate nyumba na baadae vifaa kama vitanda,friji nk. wakipata vyote hawataki mawasiliano tena hili limemkera.