nina swali

5

  • Total voters
    3
  • Poll closed .

mood2007

New Member
Mar 11, 2009
3
0
Kwanini baadhi ya washenzi huwa wanawapa tabu sana watu hapa uae wakati wa kuleta wake za0? Jee ?na kunaninihii kitandani pia huomba misaada?watu hao hao mara nyumba mara kitanda mara frigi mara kazi halafu yote yakikamilika hapokei tena simu za watu .je hawa wanafaa katika jamii?
 
Polesana mkuu, ndio maana kuna methali inasema "Tenda wema wende zako, usingoje shukrani".
 
Kwanini baadhi ya washenzi huwa wanawapa tabu sana watu hapa uae wakati wa kuleta wake za0? Jee ?na kunaninihii kitandani pia huomba misaada?watu hao hao mara nyumba mara kitanda mara frigi mara kazi halafu yote yakikamilika hapokei tena simu za watu .je hawa wanafaa katika jamii?

samahani kidogo mkuu....nahisi sijakuelewa?
 
samahani kidogo mkuu....nahisi sijakuelewa

NIPO NJE YA MSTARI KABISA
 
niliweka comment naona imeondolewa. Anyways siyo siri mkuu hapo kwenhye poll nimeshindwa kuelewa nini unataka kutest? Au nijitungie swali kisha nipige kura? naomba maelekezo na maelezo!
 
Nilivyoelewa mimi jamaa anaishi UAE sasa kuna jamaa huko huwa wanaomba msaada ili kuwapeleka wake zao huko,wakiwaleta wanaomba tena msaada Wabongo wenzao wapate nyumba na baadae vifaa kama vitanda,friji nk. wakipata vyote hawataki mawasiliano tena hili limemkera.
 
Cyo kosa lake may b kusoma alianzia darasa la 3 so zile daftar za mistar midogo na mikubwa hajawah kuziona means kuandika hajui.statement haieleweki kabiiisa.
 
Kwanini baadhi ya washenzi huwa wanawapa tabu sana watu hapa uae wakati wa kuleta wake za0? Jee ?na kunaninihii kitandani pia huomba misaada?watu hao hao mara nyumba mara kitanda mara frigi mara kazi halafu yote yakikamilika hapokei tena simu za watu .je hawa wanafaa katika jamii?

Mkuu umenyewa na mvua ............ sasa wapokee simu za nini tena ....:smile-big: labda kama unataka kutoa gani ahahah ..
 
duuuuhhhh sijaelewa kabisa yaani :doh::doh:...... ngoja nikanunue glasses na dictionary ya kiswahili halafu ntarudi hapa nijaribu tena kusoma...:bowl:
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom